Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #141
Mikopo ipo mingi sana NMB wanatoaMtaji wenyewe wa afu tatu sasa wakiiba si ntafunga goli 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikopo ipo mingi sana NMB wanatoaMtaji wenyewe wa afu tatu sasa wakiiba si ntafunga goli 😹😹😹
😹😹😹 Sasa kwann nisinywe na wakinga toka watoto tunapewa ulanzi km chai 🤣Na weww unapiga vyombo kabisa
Duh ili msizie mama aendelee kulima ahah tutafutie uncle mwaka uhuu😹😹😹 Sasa kwann nisinywe na wakinga toka watoto tunapewa ulanzi km chai 🤣
Sina asset ya kukopea, lete hati yako ya nyumba basi mdogo angu tukopee 😜😹😹Mikopo ipo mingi sana NMB wanatoa
hiyo wine nishaijua inatwa drosty hof bila shaka, mkuu unaumia kichwa wine! na beer nikajua hata ulikunywa makali..😀Kinywa kicha kinauma nilijaribu serenget lite kichwa kiliuma sana hapo ni moja tu nikaja flyfish kichwa bado kuuma nikaja wine moja hivi inaitwa drothp jina lakr gumu ikanishinda kabisa
Hata mimi nataka nijaziwe minyama 😜Sambusa nzuri ila nyama unapunja sana...
Au sio 😹😹Duh ili msizie mama aendelee kulima ahah tutafutie uncle mwaka uhuu
malevi bhana...🤣Hii umix na sprite uweke na ice inabamba kinouma… 😍
Ni mwendo wa kubalance km mkemia mkuu 😹😹malevi bhana...🤣
wewe ushakuwa mixologist sasa...🤣Ni mwendo wa kubalance km mkemia mkuu 😹😹
Mh! halafu ukiliwa uje ulete uzi "wakaka wa jf wanatabia mbaya!"naomba niwe mgeni wako leo, usimalize pleaseee. Niko njiani 😜
😹😹😹 Mxieeeeww.!!wewe ushakuwa mixologist sasa...🤣
Nyumba ya urith unataka yule bimkubwa afeSina asset ya kukopea, lete hati yako ya nyumba basi mdogo angu tukopee 😜😹😹
Mwachi njoo unaitwa huku.Hii umix na sprite uweke na ice inabamba kinouma… 😍
sema ukweli momy...?😹😹😹 Mxieeeeww.!!
Ahahah ngumu iyo siku kichwa kilium mpaka niliokuwa nao wakashangaa kabisahiyo wine nishaijua inatwa drosty hof bila shaka, mkuu unaumia kichwa wine! na beer nikajua hata ulikunywa makali..😀
Basi wewe ni malaika yani wine unaumwa kichwa!, ngoja nikuache ukikuwa utakuja mwenyewe nilitaka nikuvute!..🤣
Kabisa iachie kesho 😂Au sio 😹😹
Ngoja niachie placenta nikuletee uncle 🤣
Hizi ni for beginners wazoefu ni mwendo wa KUPIGA spirit...kitu Cha magic moment.. konyagi...k vant..Na weww unapiga vyombo kabisa