Sambusa za nyama na juice ya matunda

Sambusa za nyama na juice ya matunda

Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama

MAHITAJI
Unga wa ngano
Nyama
Hoho
Karoti
Chumvi
Mafuta

Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri
Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza kukanda mimi natengeneza za kula mwenyewe so nilitumia unga nusu
View attachment 3235406

Baada ya hapo ngano yako ulio kanda ipumue kidogo kisha kata na utengeneze madonge kama ya chapati
View attachment 3235410
Baada ya hapo anza kusukuma moja moja iwe kama chapati hakikisha isiwe nzito
View attachment 3235415
Baada ya hapo andaa sahani pembeni weka unga kwenye sahani kisha weka chapati yako kwenye sahani
View attachment 3235418
Na ukiwa unaweka unazibebanisha juu yake unapaka mafut kama ivyo ili ukija babua inakuwa ni vyepesi kuzitoa
View attachment 3235420
Ukimaliza hapo chukua kidogo mimi nilichukua kama chapati tatu zikiwa zimebebana nikazisukuma tena
View attachment 3235421
Baada ya hapo unakata kwa njia ya msalaba kama hivi
View attachment 3235422
Baada ya hapo unaenda kubabua
View attachment 3235423
Weka pole pole ukimaliza kubabua njoo uziachanishe kama hivi
Baada ya hapo nikachukua nyama nilio isaga na kuikaanga nilichanganya pilipili karot na hoho
View attachment 3235430
Baada ya hapo chukua sasa vipande vyako na ulivyo achanisha kunja kama hivi View attachment 3235432na uweke nyama kidogo tu usijaze mpaka juu
View attachment 3235433
Na kunja vizur hakikisha hakuna pembe ya sambusa inayo weza fanya mafuta yaingie ndani
View attachment 3235435
Kisha zikaange kwenye mafuta yalio chemka ili zisinyonye mafuta na ziwe za kawahawia
View attachment 3235436
Zilikuwa mzuri sana
View attachment 3235437
Juice mnajua kusaga nitawapa mahitaji tu
Embe moja
Nanasi moja
Passion matatu

View attachment 3235439
Hiyo scenery ni nusu pepo. Unavuta hewa isiyo hata na chembe ya sumu.
 
Siku moja ukishinda bingo ualike wana JF waje kula madiko diko na ku enjoy hayo mandhari.
Halafu wakimaliza kula hapohapo brandy,gin, vodka,rum, tequila, whiskey, beer na wine lazima zihusike ili kumeng'enya vyema chakula bila kusahau muziki...😁
 
Daa
Mkuu unapo blend passion epuka ku blend kwa spidi sana pia unakuwa unawasha blender kwa sekunde kadhaa tu aidha tano ama kumi kisha unazima ili kuepuka kusaga hizo mbegu zake si unaona bado zipo kwenye juice inakuwa inaleta kero wakati wakunywa vilevile mwengine anaweza kuona kama ni uchafu kila mtu na mmbichwa wake!. siku nyengine jaribu kutumia hiyo mbinu hutakuja kuona hivyo vichengachenga hata kwenye kuchuja haitakusumbua!, usiblend passion kama unablend mango ama nanasi.
Daah hiyo ishu ya chenga umeongea mkuu nimeumia sana nilipia buku langu kununua juice yule demu alikuwa kachanganya na mapilipili manga ila ni kihelehele changu kwa sababu niliona na nilihoji mbona kuna hivi vidude
 
Halafu wakimaliza kula hapohapo brandy,gin, vodka,rum, tequila, whiskey, beer na wine lazima zihusike ili kumeng'enya vyema chakula bila kusahau muziki...😁
Ahahah au sio wazee wa mvinyo
 
Daa

Daah hiyo ishu ya chenga umeongea mkuu nimeumia sana nilipia buku langu kununua juice yule demu alikuwa kachanganya na mapilipili manga ila ni kihelehele changu kwa sababu niliona na nilihoji mbona kuna hivi vidude
pole mkuu..🤣
 
Back
Top Bottom