Sambusa za nyama na juice ya matunda

Sambusa za nyama na juice ya matunda

Zisha nishinda sana izo
Uwe unapiga japo Smirnoff black ice
Screenshot_20250204-124634.png
 
niambie ulikwama wapi nikuelekeze usikute uliingia gari la akina kasongo..🤣
Kinywa kicha kinauma nilijaribu serenget lite kichwa kiliuma sana hapo ni moja tu nikaja flyfish kichwa bado kuuma nikaja wine moja hivi inaitwa drothp jina lakr gumu ikanishinda kabisa
 
Back
Top Bottom