Same: Ajali yaua watu saba wa familia moja

Tukiwaambia gari za mzungu ni gari ngumu na kidogo zina usalama kwenye ajali muwe mnaelewa na muache kukaza shingo.

Ukiangalia Chassis namba ya hiyo gari TIRA inaonesha ni VW Touran.

Wajapan nawasubiri hapa.
Sedan ya 1990s au early 2000 umeipambanisha na SUV ya 2008+

Huu mlinganisho sio fair. Angalau wangekuwa same model year au same class wote SUV au wote Sedan ndio inge make sense
 
Corola kupakia watu saba hili nalo ni tatizo na huyu askari aliyekuwa akiendesha hiyo gari ni tatizo kubwa.
 
Nashindwa kuelewa hilo eneo ajali ilipotokea, pako vizuri mno hadi ushangae ajali inatokeaje. Ukiwa eneo la ajali(Saweni) unaweza kuiona Makanya kwa jinsi barabara ilivyo smooth, flat na ilivyonyooka.

Kweli za mtu zikifika....
 
Sedan ya 1990s au early 2000 umeipambanisha na SUV ya 2008+

Huu mlinganisho sio fair. Angalau wangekuwa same model year au same class wote SUV au wote Sedan ndio inge make sense
Touran zimeanza 2003,

Fine hata ingekuwa sedan ya mwaka sawa na hiyo Corolla.

Mfano iwe hata bmw E46 hivi. ingekuwa ni different story.

Gari za Mjapani ni makaratasi mzee.
 
Sio sahihi kusema uzembe, maana kama mtu katoka kote hukoooo Korogwe, Lushoto then uzembe ukatokea Same, binafsi nafikiri kulikuwa nq itilafu ya kiutendaji wa gari iyo huenda ikawa ma ball joint, rack end, tie rod end yalikatika kisha dereva akapoteza uwezo wa kuli control chuma.ikahama.njia ...

Ni.muhimu sana kununua vibuli vyenye ubora na kufanya service gari zetu kabla ya kuanza safari
 
Touran zimeanza 2003,

Fine hata ingekuwa sedan ya mwaka sawa na hiyo Corolla.

Mfano iwe hata bmw E46 hivi. ingekuwa ni different story.

Gari za Mjapani ni makaratasi mzee.
Nenda uzi wa road trip utakutana na wajerumani waliofinyangwa. Anyway endesha mjerumani hovyo matokeo utYapata
 
[emoji23] Ficha ujinga wako basi mkuu.
Sasa ujinga wangu nini hapo, kwamba wish sio corolla.

Wewe unadhani corolla ni hiyo iliyopata ajali tu.

Nakupa somo sasa wewe bwege, hiyo corolla iliyopata ajali inaitwa COROLLA XE SALOON ambayo ni aina mojawapo ya corolla ambazo zipo nyingi kama Wish, Spacio, Runx, Fielder, Apex n.k. kwa hiyo usikariri kuwa corolla ni moja tu uliyozoea wewe na vilaza wenzako.
 
Corolla na Corrola Spacio ni magari mawili Tofauti. Gari ilikuwa imejaza kupita kiasi. Acha kuhamisha magoli.
Duh aisee we jamaa ni muongo jukwaa zima hakuna kama wewe, kwamba kuna Corolla na kuna Corrola. Acha uongo wako we kilaza. Spacio ni Corolla sio CORROLA kama ulivyoandiska.
 
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

Kwa mujibu wa ripoti ya polisi ni kwamba 95% ya ajali ni uzembe na iliyobaki 5% ni ubovu wa chombo na miundombinu(barabara).

kwa maelezo ya mada inawezekana ikawa vitu hivi kimoja wapo kilitokea.

1. Usingizi - Kama sio mzoefu na una usingizi unaweze ukahama ukaenda upande wa mwenzako(kwa hapa alienda upande wa kulia).

2.Overtaking - Kwa mujibu wa maelezo ni kwamba hiyo sehemu ipo flat sio kwamba ni kona au mlima wakati wa kuovertake usione mbele ,kwahiyo hii ni asilimia chache.

3.Ubovu wa chombo - Kuna mdau anasema inawezekana gari ilileta hitilafu kwenye mfumo wa tyre hivyo kusababisha gari kuhama upande wa kulia kwa kuvutwa
 
Yes uko sahihi sana mkuu, umefanya reasoning kuliko wale walioandika kuwa corolla ni corolla tu tena mwingine akaandika kuwa kuna Corolla na corrola na Wish ni Corrola kitu ambacho sio sahihi. Corolla ni jina kama la familia ndani yake zipo nyingi kama RUMION, WISH, SPACIO, XE,XE LIMITED N.K.
 
Touran zimeanza 2003,

Fine hata ingekuwa sedan ya mwaka sawa na hiyo Corolla.

Mfano iwe hata bmw E46 hivi. ingekuwa ni different story.

Gari za Mjapani ni makaratasi mzee.
Hii ni bmw unayoisifia kuwa ni ngumu, ajali haingalii aina ya gari inategemea speed uliyopo na sehemu uliyogonga, eti mjapan ni karatasi, wabongo kwa dharau!
 
Hii ni bmw unayoisifia kuwa ni ngumu, ajali haingalii aina ya gari inategemea speed uliyopo na sehemu uliyogonga, eti mjapan ni karatasi, wabongo kwa dharau!View attachment 2391694
Mzinga wa 50kph wa Crown haufanani na mzinga wa 50ph wa BMW 3 series.

Kama huamini endelea kubisha ila Mjapani ni makaratasi.

Umeona kwenye hiyo ajali kuna mtu mtu wa Tiguan amekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…