Uchaguzi 2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704

Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo.

Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea.

Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
 
Hadi leo bado anachechemea. Harudii Tena kulewa chakari kapata fundisho.
 
Sheria za udhamini zikoje.Isije wakatakiwa wadhamini kati ya 200 na 250 kila mkoa halafu nyie mkajaza watu zaidi ya wanaotakiwa kimkoa.Hatupo tayari kusikia kosa lolote linafanyika kwenye eneo lolote kuelekea kuteuliwa na NEC.
 
Mkuu una moyo mgumu kama chuma kwenda kutazama hiyo kitu hapo chang'ombe
 
Hivi hata Mbowe anatembelea fimbo??
 
Kambea wewe!!
 
Generalky anatakiwa kuwa na wadhamini wangapi? Na je wadhamini wanatakiwa kutoka katika kila mkoa wa Tanzania?

Ngoja ccm wakashambulie tena msafara wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…