Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.Hadi leo bado anachechemea. Harudii Tena kulewa chakari kapata fundisho.
Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa