Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.Hadi leo bado anachechemea. Harudii Tena kulewa chakari kapata fundisho.
Hivi hata Mbowe anatembelea fimbo??
Dah, nimeandika nikafutaHadi leo bado anachechemea. Harudii Tena kulewa chakari kapata fundisho.
Unaweza kumlazimisha kichaa kuoga kuliko kumlazimisha huyo bwana kwenda kwenye mdahalo.Magufuli afanyiwe mdahalo kwa lazima
Please, argue not with an idiot. Ignore him/her.Akili zako na sheitwani hazina tofauti
Nini kinaendelea pale Taifa?
Ni haki yetu kikatiba kuhoji na kufahamishwa.
Haikuhusu, piga rapaPlease, argue not with an idiot. Ignore him/her.
Wamekubali kudhalilisha utu waoChannel ten wanaonesha now[emoji16][emoji16] naona nguo za kijan zinacheza wanaimba chagua ccm chama tumpe kura za ndio[emoji848]
Nitakutukana ukirudiaHadi leo bado anachechemea. Harudii Tena kulewa chakari kapata fundisho.
Umeambiwa upeleke miambili unampeleka elfu 6 kichwani uko sawa kweli?View attachment 1537879
Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo.
Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea.
Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
Pia mkuu ukiona kiongozi yeyote anapata nafasi ya kuongoza kiurahisi rahisi huyo hawezi kuwa kiongozi makini.
Muhimu sana hiyoNdio maana lazima kuwepo mdahalo wa wagombea urahisi ili waweze kujibu maswali magumu
AMENTwende na Tundu Lissu, huyu ndiye mbeba maono. hawezi kufa mpaka atimize kusudi la Mungu. Big up Chadema Same Magharibi.