Mkuu yawezekana jamaa ali-zoom😂Msafara huo ulitokea Same kuelekea Wilaya ya Mwanga. Hata hivyo inadaiwa Mbunge huyo hakuonekana katika eneo la Mwanga
Amen....!!!Pole gari kwa kubondeka vibaya nakuombea mafundi gereji wakurekebishe ili urudi kwenye hali yako ya awali uliyotoka nayo Japan.
Hata mm huwa najiulizaga hiyo mispeed wana kimbiliaga wapiHuwa wanakimbilia wapi na maspeed yote?
Nimeona msafara wa Samia nao speed wanayokimbia ni kama 160, sasa wanakimbiliaga wapi?
Pengine na chawa wala kwa urefu wa kwamba!Alichaguliwa Na nani? Loh! Ngoja niachie hapa
Yeye ndiye mmiliki wa mabasi ya Ibra Line?Ibra kitambo sana 😂, Mzee
Ndio huyoYeye ndiye mmiliki wa mabasi ya Ibra Line?
AiseeNdio huyo
Ni gari gani hio?Hizo gari ni upepo hawajazijua tu gari inapishana na Truck ikipigwa upepo inahama bara bara hakuna gari hapo...
Naninavyo mjua, baada ya hili tukio atawaita watoto wa Madrasa , wamuembee Dua, kumbe issues ni speed kubwa kwenye barabara ya hovyoAisee
What goes around comes aroundHawa watu wa serikali wanakimbiza sana magari yao.
Wanasahau kuwa pesa ya kujenga barabara bora wamekula ten percent.