Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba.
Msafara huo ulitokea Same kuelekea Wilaya ya Mwanga. Hata hivyo inadaiwa Mbunge huyo hakuonekana katika eneo la Mwanga ambako Waziri Mkuu alikuwapo. Tunaendelea kuwatafuta Jeshi la Polisi, kwa habari zaidi.
Waliokuwa kwenye msafara wa waziri mkuu
Picha za gari yake:::::::::
View attachment 3545776
View attachment 3545777
View attachment 3545778