KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?

Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne kwa siku moja, hii sio kawaida. Polisi hebu fuatilieni zinakopelekwa? Au kama hazijatoka Same zimefichwa wapi?
 
Kama ni mkazi wa same unaweza kutoa taarifa ya machimbo au suspects wa wezi wa tv humuhumu polisi wakaambushi. Majizi yote vibaka hayasomi humu jamiiforums so ni ize polisi kupata taarifa na ku ambushi machimbo ya wezi wa tv.
 
Polisi kazi yake ni ulinzi na usalama wa raia na Mali zao.
Wakijikita katika kwenye core values and integrity watapendwa zaidi mno na mno Ila Sasa wao. Unaibiwa kwenda kuwakamata wezi ama mwizi utoe hela ya mafuta gari lao halina mafuta,
Mwizi akishakamatwa pale anaicheki mwenye kumpatia hela ili apendelewe katika uandishi akashinde kesi mahakamani. Huwezi ukawaambia kuwa una madini wakulinde uyasafirishe Bali Kuna mfanyabiashara mmoja huko mtwara aliuwa sijui alinyang'anywa madini yake baadaye dogo mmoja akatumwa akammalize akashikwa akadai Kuwa boss wake ndiye aliyemtuma akammalize.
Huyo dogo Naye askari akauwa kwa kusema ukweli. Msiba kufikishwa kwao dar mzee wake akakataa kupokea mwili wa marehemu.

Yaani wakamuua police mwenzako.

Vipi Yule aliyeuwa majambazi feki huko ulanga moro.aliishia wapi
 
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?

Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne kwa siku moja, hii sio kawaida. Polisi hebu fuatilieni zinakopelekwa? Au kama hazijatoka Same zimefichwa wapi?
Mtandaooi mkubwaaa mkuu omben wakùsavituoo polisinawenzao wahamishwe wanaokuja wapeweee mkakati mwone
 
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?

Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne kwa siku moja, hii sio kawaida. Polisi hebu fuatilieni zinakopelekwa? Au kama hazijatoka Same zimefichwa wapi?
Vijana hawana visamaki vya kuuza wajikimu.
 
Back
Top Bottom