Pre GE2025 Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba.

Kulingana na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same ya tarehe 5 Novemba, 2024 kwenda kwa CHADEMA Same, uamuzi huo umetokana na sababu ya kuwa katika kipindi cha maandalizi ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambazo zitaanza rasmi tarehe 20 Novemba 2024.

Katika barua hiyo, Polisi wamesisitiza kuwa mikutano hiyo inaonekana kama kampeni, ambayo hairuhusiwi kufanyika kwa wakati huu hadi kufikia kipindi rasmi cha kampeni.

"Ofisi hii inakujulisha kuwa imesitisha mikutano yako ya hadhara miwili ambayo ulipanga kuifanya tarehe 06/11/2024 Ndungu, na tarehe 08/11/2024 Same mjini."

"Hii ni kutokana kwamba kufanya kwako mikutano hiyo ni sawa na kufanya kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa kabla ya muda wa kampeni kufika na kampeni inatarajiwa kuanza tarehe 20/11/2024," imeeleza barua hiyo.

CHADEMA, kupitia Katibu wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema wameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuwanyima haki ya kufanya mikutano ya kuhamasisha wananchi na kujenga uelewa wa uraia kwa Watanzania.

Aidha Lema amesema kuwa: "Polisi wamesema wamezuia mikutano yote ya siasa mpaka pale tutakapozindua kampeni tarehe mwezi huu, kwamba haturuhusiwi kufanya mikutano ya kisiasa kwa wakati huu....."

"Kwakuwa eti tunajiandaa kufanya kampeni za wiki nzima kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Nimewauliza hiyo ni sababu ya aina gani? Maana sisi (CHADEMA) hatuendi kwa ajili ya kupiga kura, tunakwenda kwa ajili ya kuwahamasisha wananchi na kuwajengea uraia mwema", amesema Lema.
 
Nchi ngumu sana hii,mbona Nchimbi na Makalla kila siku wapo mikutanoni mikoani huko??hii ni double standard,moja ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,nashukuru Mungu niliacha kazi
 
Makala anaendelea na mikutano ya chama.chake nchi nzima. Lakini seems Lissu ndiye mpinzani halisi anapingwa hadi na CHADEMA wenyewe
 
Lissu aulizwe amejiandikisha???
Kama hapana, je huo siyo usaliti dhidi ya WANACHADEMA?
Kama ndiyo, je ni lini?
 
Nchi ngumu sana hii,mbona Nchimbi na Makalla kila siku wapo mikutanoni mikoani huko??hii ni double standard,moja ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,nashukuru Mungu niliacha kazi
Wakuu nao sio kwamba wanapenda ni system imewataka kuwa hivo,
 
Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na mkutano mwingine wa chama hicho uliopangwa kufanyika tarehe 8 mwezi huu Novemba.

Kulingana na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same ya tarehe 5 Novemba, 2024 kwenda kwa CHADEMA Same, uamuzi huo umetokana na sababu ya kuwa katika kipindi cha maandalizi ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambazo zitaanza rasmi tarehe 20 Novemba 2024.

Katika barua hiyo, Polisi wamesisitiza kuwa mikutano hiyo inaonekana kama kampeni, ambayo hairuhusiwi kufanyika kwa wakati huu hadi kufikia kipindi rasmi cha kampeni.

"Ofisi hii inakujulisha kuwa imesitisha mikutano yako ya hadhara miwili ambayo ulipanga kuifanya tarehe 06/11/2024 Ndungu, na tarehe 08/11/2024 Same mjini."

"Hii ni kutokana kwamba kufanya kwako mikutano hiyo ni sawa na kufanya kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa kabla ya muda wa kampeni kufika na kampeni inatarajiwa kuanza tarehe 20/11/2024," imeeleza barua hiyo.

CHADEMA, kupitia Katibu wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema wameeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuwanyima haki ya kufanya mikutano ya kuhamasisha wananchi na kujenga uelewa wa uraia kwa Watanzania.

Aidha Lema amesema kuwa: "Polisi wamesema wamezuia mikutano yote ya siasa mpaka pale tutakapozindua kampeni tarehe mwezi huu, kwamba haturuhusiwi kufanya mikutano ya kisiasa kwa wakati huu....."

"Kwakuwa eti tunajiandaa kufanya kampeni za wiki nzima kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Nimewauliza hiyo ni sababu ya aina gani? Maana sisi (CHADEMA) hatuendi kwa ajili ya kupiga kura, tunakwenda kwa ajili ya kuwahamasisha wananchi na kuwajengea uraia mwema", amesema Lema.
Lakini kwa Makalla ni rukhsa
 
bLOOD BASTARD HAWA WATU. WASUBIRI WASIKILIZE WAONE KAMA NI KAMPENI AU LA!
 
Msema wa kanda ya kaskazini ni Godbles Lema ,huyu Basil Lema ni nani mkubwa kati yao ?
 
07 November 2024

Same, Tanzania

LISSU NA MTIA NIA UBUNGE WATINGA SAME MOSHI KIBABE LICHA YA MIKUTANO YAO KUZUIWA NA POLISI

View: https://m.youtube.com/watch?v=-Jb10TmqYYc
Apokelewa kishujaa na kukuta uhai wa chama cha CHADEMA Same Mashariki umezidi kuimarika.

Same Mashariki wamejitolea na kujenga ofisi ya chama yenye vyumba kumi, na wanaCHADEMA wa Same Mashariki wanaari ya kushinda uchaguzi wa 2024 kwa kuchukua viti vyote vya mitaa, vijiji na vitongoji ...
 
Back
Top Bottom