Unafikiri yanajali sasa, sanasana utayakuta yapo ubaoni yanaimba "Yatapita" ya Diamond.... huku wengine wakipiga Radio call kusikilizishana hilo song kwa kufarijiana!!!Tumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili.
Kibogoyo akijidai kwa ukali wa meno yake wewe mpe muda wa utekelezaji ndio umpe sifa zake
You are right. Polisi wakianza kusimamia maadili wasije wakaanza tena kuwavuta upande wao.Kibogoyo akijidai kwa ukali wa meno yake wewe mpe muda wa utekelezaji ndio umpe sifa zake
Yaani imenena sawa.Unafikiri yanajali sasa, sanasana utayakuta yapo ubaoni yanaimba "Yatapita" ya Diamond.... huku wengine wakipiga Radio call kusikilizishana hilo song kwa kufarijiana!!!
Chadema tukichukua nchi tunavunja jeshi la polisiNoma sana !
Very strange, inabidi angesema sasa nafungua uchunguzi wa majaribio ya mauaji ya Lisu. hapo nitamwelewaKwa hiyo na yeye analalamika?