Analalamika nini wakati ameturuhusu tule kwa urefu wa kamba zetu?Kwa hiyo na yeye analalamika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analalamika nini wakati ameturuhusu tule kwa urefu wa kamba zetu?Kwa hiyo na yeye analalamika?
Hakuna ubishi kwamba wapo Polisi wabaya lakini Pia tusipofushwe macho kwamba Polisi wazuri wapo.
Tatizo la Polisi wanapambana na MAKUNDI makuu mawili Mlalamikaji Kwa upande mmoja na mlalamikiwa Kwa upande wa pili na Kwa vyovyote vile lazima mmoja ashinde na yeyote atakaye shinda lazima atakayeshindwa awachukie Polisi lakini Pia majumu Yao ya kukamata yanaongeza maadui wao kila siku mfano ukimkamata Baba yangu Kwa kosa lolote Lile lazima Mimi na familia nzima tuwachukie Polisi wote. Kwahiyo hakuna wakati wanaweza kuwafurahisha Pande zote na hiyo ndiyo sababu ya kuwachukia na kusingizia kwamba wanabambikiza kesi hovyohovyo.
Sababu nyingine ni Serikali kutokuwekeza Kwa Jeshi la Polisi wakiwaacha watumie fursa za kuombaomba ukitaka mtoto wako awe na TABIA mbaya mruhusi aanze kuishi Kwa kutegemea majirani.
Sio kazi ya polisi kudeal na mlalamikaji na mlalamikiwa.Hakuna ubishi kwamba wapo Polisi wabaya lakini Pia tusipofushwe macho kwamba Polisi wazuri wapo.
Tatizo la Polisi wanapambana na MAKUNDI makuu mawili Mlalamikaji Kwa upande mmoja na mlalamikiwa Kwa upande wa pili na Kwa vyovyote vile lazima mmoja ashinde na yeyote atakaye shinda lazima atakayeshindwa awachukie Polisi lakini Pia majumu Yao ya kukamata yanaongeza maadui wao kila siku mfano ukimkamata Baba yangu Kwa kosa lolote Lile lazima Mimi na familia nzima tuwachukie Polisi wote. Kwahiyo hakuna wakati wanaweza kuwafurahisha Pande zote na hiyo ndiyo sababu ya kuwachukia na kusingizia kwamba wanabambikiza kesi hovyohovyo.
Sababu nyingine ni Serikali kutokuwekeza Kwa Jeshi la Polisi wakiwaacha watumie fursa za kuombaomba ukitaka mtoto wako awe na TABIA mbaya mruhusi aanze kuishi Kwa kutegemea majirani.
Umenichekesha.Anataka tufikie polisi wa zenji.
Polisi wa kule akikuletea RB, anakuuliza ikiwa utapenda kuambatana nae kituoni au utakuja kituoni mwenyewe ukimaliza shughuli zako.
🗣️ Aroo kijana! Iondoe haraka hii picha, kabla sijamtuma afande Miraji kuja kukukamata na kukureta hapa centro. Unarifedhehesha geshi retu ra porisi.
Amekose, ni 98% wanalinyooshea kidole jeshi la polisi, wananchi hawana imani tenaTumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili.
View attachment 2501408
Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi.
Taasisi isiyokubalika kwa kiwango hiki ni ya nini? Kwanini taasisi hii isivunjwe ikasukwa upya na ikibidi ikaanza na watu wapya?
View attachment 2501411
Kwanini kuendelea kuwalea madhulumati hawa wanaojulikana kana kwamba hawajulikani?
--------
Source: Rais Samia aichambua magereza, jeshi la polisi ‘linavyonyooshewa kidole’
Umenena!Hakuna ubishi kwamba wapo Polisi wabaya lakini Pia tusipofushwe macho kwamba Polisi wazuri wapo.
Tatizo la Polisi wanapambana na MAKUNDI makuu mawili Mlalamikaji Kwa upande mmoja na mlalamikiwa Kwa upande wa pili na Kwa vyovyote vile lazima mmoja ashinde na yeyote atakaye shinda lazima atakayeshindwa awachukie Polisi lakini Pia majumu Yao ya kukamata yanaongeza maadui wao kila siku mfano ukimkamata Baba yangu Kwa kosa lolote Lile lazima Mimi na familia nzima tuwachukie Polisi wote. Kwahiyo hakuna wakati wanaweza kuwafurahisha Pande zote na hiyo ndiyo sababu ya kuwachukia na kusingizia kwamba wanabambikiza kesi hovyohovyo.
Sababu nyingine ni Serikali kutokuwekeza Kwa Jeshi la Polisi wakiwaacha watumie fursa za kuombaomba ukitaka mtoto wako awe na TABIA mbaya mruhusi aanze kuishi Kwa kutegemea majirani.
You are right. Polisi wakianza kusimamia maadili wasije wakaanza tena kuwavuta upande wao.
Misingi ya utendaji wa polisi kwa 70% imeshajihishwa na chama cha ccm sababu mwenyekiti wa ccm ndio anateua na kufanya mawasiliano ya karibu na IGP.
Chadema tukichukua nchi tunavunja jeshi la polisi
Amepunguza asilimia sana, ukweli hakuna mtanzania mwenye imani na Police kabisa,niliibiwa Simu nikaenda kureport pale Msimbazi,wanataka Laki moja na nusu ili waitafute.........baada ya kuondoka na kuona hawana msaada,yule aliyenipokea baada ya kuona kimya alikuwa ananipigia Simu zaidi ya miezi 3 bila aibu anauliza lini nitamtumia Hela,Kifupi jeshi la police limeoza kabisaTumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili.
View attachment 2501408
Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi.
Taasisi isiyokubalika kwa kiwango hiki ni ya nini? Kwanini taasisi hii isivunjwe ikasukwa upya na ikibidi ikaanza na watu wapya?
View attachment 2501411
Kwanini kuendelea kuwalea madhulumati hawa wanaojulikana kana kwamba hawajulikani?
--------
Source: Rais Samia aichambua magereza, jeshi la polisi ‘linavyonyooshewa kidole’
Samia MANENO meengi utekelezaji 10%
Bingwa JOHN akuwa na maneno ya kutia MOYO yeye ukweli ukweli mtupu ikikuuma shauri yako
Kwenye utekelezaji ni 90%
akisema kitu fulani kifanyike hivi na hapo hapo halambe inaanza
Na kama aliyezingua yupo hapo anamchana LIVE iwe kumuonya au kumtumbua
UONGOZI wa mtindo wa JOHN ndivyo inavyotakiwa katika JAMII ZA AFRICA hasa zile nchi zenye UFISADI wa kutisha RUSHWA nk
Kwa TANZANIA baada ya MAGUFURI kufa ndio tuligundua kuwa tulimuhitaji sana MAGUFURI kuliko yeye alivyohitaji kuwa RAISI wa nchi hiu
Ipo siku WAPINZANI watamzunguzia MAGUFURI katika REFER za hotuba zao za MIKUTANO au maandiko yao
ukitaka kuamini hilo we wafatilie kwa makini katika HOTUBA zao au Mabandiko yao mtandaoni
utagundua tu japo wanamluka kimtindo
Nikukute Central Haraka Sana,Haa Haa