Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

Kiujumla katiba ya ccm imevunjwa, na atakayenyanyua mdomo kusema atafukuzwa, kwa ccm demokrasia hata ya kupapasia ni zero
 
Jakaya ni moja ya viongozi wanaokitumia ccm kujinufaisha zaidi...hakupaswa kuunga mkono lile, wangesubiri.Katiba ya ccm imevunjwa
 
Aisee naona watu wamebubujikwa na machozi uwoiiiiiiiii kizim job ooooyeeee na Dr wa mchongo wa meno wa mkuranga
 
Kiujumla katiba ya ccm imevunjwa, na atakayenyanyua mdomo kusema atafukuzwa, kwa ccm demokrasia hata ya kupapasia ni zero
Acha uzushi

Wameazimia…. Azimio likapitishwa

Mbona umeumia sana?
 
Halafu kuna chawa walimchangia mamilioni ya kuchukua fomu! Sijui itakuwaje.
 
Kuna mtu kamwe hatokuwa rais na kibaya roh ya maut i malangon mwak inamtak.....
 
Hivi Mwinyi hajamaliza miaka 10?
 
Naona hata mzee wa Msoga katika maelexo yake66 alikuwa na kigugumizi lakini akajishtukia na kuona kama maelezo yake hayamsaidii Mama!
Huku akielemewa na kelele za chawa wa Mama akaamua kuunga mkono maamuzi.
 
Nakuunga mkono.Vikao vya aina hiyo ni gharama ati.
 
Ukweli ni kwamba, CHADEMA wapo vizuri sana kwenye demokrasia. Wanaizidi CCM mara 100 zaidi. Kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda, CCM inazidi kuogopa ushindani hata wa wenyewe kwa wenyewe.
Ikiwa CCM wanaogopa kushindana wao kwa wao wataweza kushindana nje ya chama? La hasha.
Matokeo yake ni kwamba kabla, wakati na baada ya uchaguzi vyombo vya ulinzi na usalama vitaendeleza utaratibu wa kusaidia CCM kwa karibu asilimia zote.
Kwa hiyo, kama hatutajisacrifice kulazimisha maboresho ya Katiba na Sheria bora za Uchaguzi sasa, mwaka huu hakuna uchaguzi Tanzania. Yaani, uchaguzi ndo umekwisha hivyo.
Lakini, Mungu bado anawapenda Watanzania na anaona jinsi watawala na wafuasi wao wanavyogawana keki ya bila kujali hali ngumu kiuchumi inayowakumba Watanzania hivyo, wakati ufaao, Mungu ataleta ukombozi kwa namma ajuavyo yeye.
 
Ya CCM waache CCM wenyewe, kama ule umati woote uliopo Dodoma ameshindwa kufanya kitu kama haukukubaliana sisi tusio CCM akina nani.

Lamuhimu tuunganishe nguvu kuipinga CCM, na ikiwezekana tuitoe madarakani.
Wapi wewe kakojoe kanye ulale...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…