Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

TOKA MAKTABA

20 March 2021
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema chama hicho kinajiandaa kufanya mkutano mkuu maalum ili kumpendekeza na kumthibitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwenyekiti wa chama kufuatia msiba wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho hayati John Magufuli.

View: https://m.youtube.com/watch?v=K_BO0LXnpcY&

30 Aprili 2021
Wajumbe 1876 wa mkutano mkuu CCM wanatarajiwa kupiga kura jina moja

View: https://m.youtube.com/watch?v=K5cuNtTMGlk

Wajumbe 1876 wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wanatarajiwa kupiga kura jina moja litakalowasilishwa katika mkutano huo kumchagua mwenyekiti mpya wa chama hicho tawala nchini.Mkutano huu unafanyika baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli kufariki dunia Machi 17,2021 na atakayechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya ni Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Ndiyo hapo ujue wanaume wenzetu Watanganyika walioko.huko CCM ni mazombie kabisa wanaburunzwa na mwanamama kutoka nchi jirani ya Zanzibar. Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
MTAKATIFU MAGUFULI UTUOMBEE
17371959808237828486408051932479.jpg
 
Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.

Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.

Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.

Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.

Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.

Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.

Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.

Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Usimuamshe aliyelala
 
Maelekezo yanaua taaluma! Sitoi ushauri kama maelekezo, lakini ningekuwa wewe ningetoa ushauri ungetafsiliwa kama ni amri! Mawazo na maoni ya watu ni mchakato ambao huleta matokeo mazuri ambayo kila mtu angepata neno eidha kama pongezi au ukosoaji! Inawezekana kwa uelewa wangu mdogo sijaona baya, isipokuwa bado najifunza.
 
Kuna wapuuzi bado wanaiamini CCM, kilichotokea ni Aibu kwa democrasia nchini
Tusipoiamini CCM tumuamini nani wakati vyama vya upinzani nchi hii vyote vimeishakufa ?!!
Vyama vya Chadema na CUF vilikufa tangu 2015 walipomkaribisha Mzee Lowasa kugombea uraisi kupitia muungano wao waliouita UKAWA wakidhani kwamba wamepata mtu wa kuwabeba na kuwaongezea nguvu na hawakujua kuwa WAMEPATIKANA.!!
Lowasa ni bomu ambalo lilitumwa toka CCM wao wakalipokea na kulibeba vizuri wakidhani ni mtaji mzuri wa kukikuza chama na kwa kweli kuna matumaini ya muda mfupi yaliyoonekana kwamba Naam! UKAWA karata zao wamezipanga vizuri lakini baada ya muda mfupi baada ya uchaguzi wa 2015 ilianza kuonekana kuonekana kuwa Lowasa ni bomu ambalo limetumwa UKAWA kuja KUWAGAWA NA KUWASAMBARATISHA.!!

Hii vita iliyopo sasa 2025 kati ya Lisu na Mbowe ni matokeo ya makosa waliyoyafanya UKAWA 2015 ya kumpa Lowasa nafasi ya kugombea urais kwa niaba yao kama vile UKAWA hawakuwa na watu wengine wenye sifa za kugombea urais.
Hata hivyo ni wazi kwamba kitendo Cha Mbowe na Maallim Seif kumkaribisha Lowasa kugombea urais kwa niaba ya UKAWA kimekuwa chenye faida kwa ACT WAZALENDO ambao kupitia makosa ya Mbowe na Maalim Seif kumkakaribisha Lowasa sasa ACT wamekuwa chama chenye nguvu visiwani Zanzibar baada ya CCM na hata huu mgogoro unaoendelea kati ya Mbowe na Lisu ACT wamekaa mkao wa kula ya kwamba muda wowote watapokea wageni toka Chadema.
Nimeandika mengi lakini hoja yangu ya msingi ni kwamba CHADEMA ILIKUFA MWAKA 2015 NA HAYA YANAYOENDELEA CHADEMA KWA WAKATI HUU KATI YA LISU NA MBOWE NI MATOKEO YA MAKOSA YALIYOFANYIKA MWAKA 2015 YA KUMKARIBISHa LOWASA KUGOMBEA URAIS KWA NIABA YA UKAWA, HAPO NDIPO MGAWANYIKO MKUBWA NDANI YA CHADEMA NA CUF ULIPOANZIA.
 
Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.

Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.

Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.

Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.

Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.

Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.

Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.

Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Dua ya mnyonge
 
19 January 2025
Dodoma, Tanzania

Wanakutaka

Kikwete Aitwa Kuingilia Suala la Kumtangaza Rasmi Samia Mgombea CCM 2025, Atoa Msimamo: 'Wanakutaka'

View: https://m.youtube.com/watch?v=8C0iBzeTyH0

Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaofanyika jijini Dodoma, Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huu maalum uliowakutanisha wabunge zaidi ya 1900, na kuhudhuiwa na watu zaidi ya 5,000

TOKA MAKTABA DAWATI LA HISTORIA :

ANGUKO LA CHAMA DOLA KULE NCHINI ROMANIA, BAADA YA HOTUBA IILIYOSHANGILIWA NA WENGI

View: https://m.youtube.com/watch?v=TcRWiz1PhKU

Nicolae Ceaușescu (matamshi ya Kiromania: [nikoˈla.e t͡ʃe̯a.uˈʃesku]; 26 Januari 1918 -- 25 Desemba 1989) alikuwa mwanasiasa wa Kikomunisti wa nchini Romania.

Alikuwa Kiongozi mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha Romania kuanzia 1965 hadi 1989, na kwa hivyo alikuwa kiongozi wa pili na wa mwisho wa Kikomunisti nchini humo.

Pia alikuwa mkuu wa nchi kutoka 1967 hadi 1989. Utawala wake uliwekwa alama katika muongo wa kwanza na sera ya wazi kuelekea Ulaya Magharibi na Marekani, ambayo ilikengeuka kutoka kwa mataifa mengine ya Warsaw Pact wakati wa Vita Baridi.

Aliendelea na mtindo ulioanzishwa kwanza na mtangulizi wake, mwendazake Gheorghe Gheorghiu-Dej, ambaye kwa busara alishawishi Muungano wa Sovieti kuondoa wanajeshi wake kutoka Rumania mwaka wa 1958. , serikali kali zaidi ya Stalinist katika kambi ya Soviet.

Ilikuwa pia awamu ya muendelezo wa kuitupilia mbali Sera ya utu na kuingiza sera ya mkono wa chuma wenye damu iliyoenea kila mahali, uzalendo uchwara na kuzorota kwa uhusiano wake na wadau wa maendeleo wa kimataifa na madola ya Magharibi na Umoja wa Kisovieti.

ENGLISH:
Nicolae Ceaușescu (Romanian pronunciation: [nikoˈla.e t͡ʃe̯a.uˈʃesku]; 26 January 1918 -- 25 December 1989) was a Romanian Communist politician.

He was Secretary General of the Romanian Communist Party from 1965 to 1989, and as such was the country's second and last Communist leader. He was also the country's head of state from 1967 to 1989.

His rule was marked in the first decade by an open policy towards Western Europe and the United States, which deviated from that of the other Warsaw Pact states during the Cold War.

He continued a trend first established by his predecessor, Gheorghe Gheorghiu-Dej, who had tactfully coaxed the Soviet Union into withdrawing its troops from Romania in 1958.

Ceaușescu's second decade was characterized by an increasingly brutal and repressive regime—by some accounts, the most rigidly Stalinist regime in the Soviet bloc.

It was also marked by an ubiquitous personality cult, nationalism and a deterioration in foreign relations with the Western powers as well as the Soviet Union.

Ceaușescu's government was overthrown in the December 1989 revolution, and he and his wife were executed following a televised and hastily organised two-hour court session.
 
Huyu mama hatataka hata ushindani, changamoto, kushindana na yoyote hata kufuata mchakato, utaratibu wowote yeye ni kufanya anavyojisikia.

Pamoja na kwamba hakuna mbadala thabiti, tunamuhitaji Lissu na Chadema kuliko wakati wowote walipiganie hili taifa kupata katiba mpya, tume huru, kuondoa ufisadi, rushwa, kuuzwa kwa rasilimali za umma ovyo. Na sisi wengine wote tumuunge mkono Lissu na timu yake kuikomboa Tanganyika na Tanzania.

Muhimu sana twende na No reform no election.

No reform No election ni strategy nzuri, lakini sidhani kama itapokelewa vyema hapa nchini.
 
Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.

Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.

Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.

Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.

Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.

Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.

Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.

Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Kwa mwinyi atapita vizuuuuur, labda huyu mwenziwake wa huku bara.
 
No reform No election ni strategy nzuri, lakini sidhani kama itapokelewa vyema hapa nchini.

Naelewa wengine wakipewa asali, nusu mkate viti kadhaa, viti kama 30 vya ubunge, vyeo kadhaa watalamba asali na kuwa wapiga debe.

Unafikiri ni kwanini hii strategy haitapokelewa vizuri?

Strategy gani inaweza kuwa mbadala mzuri zaidi, maridhiano?
 
Back
Top Bottom