Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

This was an outside job na dola zote za kule zilippromoka

You can’t compare na tanzania ambapo mabeberu are benefiting from
The current status

Arab spring was also an outside job

Understand the context

vp mbona hamjaenda abu dhabi, uae ? au hamjaalikwa kwa maana maraisi wote wa afrika mashariki wako abu dhabi kuna bonge la mkutano hata museveni ambaye huwa hasafiri kabisa kaenda abu dhabi isipokuwa ninyi tu, kwa nini ? …
 
Pole Sana...

Samia ni Rais kupitia chama Cha Mapinduzi mpaka 2030
 
Mimi nimefurahi sana kuona ccm inafanya hivyo, tunaelekea pazuri kweli kweli. Dalili za mvua kunyesha ni mawingu. Mimi naamini 2025 ccm watapoteza viti vingi sana vya wabunge na kushinda urais kwa mizengwe.
Ndugu yangu, CCM wanafanya hayo wakijua kwamba, ushindi wao hautatokana na kura bali utaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Wanafanya hivi kwa sababu wametuona sisi Watanzania ni maboya. Hatuwezi kusimama imara kupinga uonevu. Mahakama, Bunge na majeshi yote ni mali yao. Watashindwaje kwenye uchaguzi?
Lakini saa inakuja ambapo watakuja kulilia chumbani.
 
Akina Lucas Mbwa Wa Shamba ndio wanapenda mambo kama hayo ya kushikiwa akili unarushiwa mfupa kama mbwa unapigiwa mluzi aufuate.

Mwisho wa yote ni zidumu fikra za mwenyekiti hata akija uchi kwenye kikao.
 
Kwa kweli kile kilichofanyika mchana huu ni maajabu.Hata Nyerere pamoja na kuwa na Mamlaka makubwa mno hakudiriki kuburuza wajumbe kiasi hicho.
Jambo hilo litaleta mgogolo ndani ya chama.
Kwa sasa wanaccm wote hakuna mwenye uhakika wa kushinda kihalali kwenye box la kura, wote wanategemea mbeleko ya mwenyekiti wao kupitia kofia yake ya urais. Hivyo hakuna mwenye kiburi cha kuhoji uhuni wowote maana wote wanategemea mbeleko ya vyombo vya dola ambavyo vinachukua maagizo toka kwa mwenyekiti wa ccm.
 
Brother matokeo jumla kama taifa ndio hamna kwa huyu mama, heri garama za kumtunza kama rais mstaafu mara moa kuliko gharama anazoliingizia taifa, hii si kwetu sisi tu ni mpaka kwa watoto wa watoto wetu!

Heri tisa iliyopo ndugu kuliko kumi ambayo hatunayo!
 
Sahihi kabisa ndugu yangu.
Na hata walipogundua kuwa wameuingia hawakukubali au ile kusema hawakuchutama baada ya kuvuliwa nguo, kuna jinsi wange fanya baada ya kosa lile lakini hawakufanya na kwa jinsi hio chadema kusimama tena ni bahati na sibu sana tena sana.
 
Amini, amini nawaambieni, siku tusipofikia hatua ya kuwa tayari kumwaga damu yetu wenyewe kwa ajili ya ukombozi wa Nchi hii, hatutakuja kamwe kufaidi matunda ya Nchi yetu, bali tutakuwa watazamaji wenye Mamlaka wakigawana keki ya Taifa wao wenyewe na vibaraka wao.
 
Pale niliona tu Kikwete alikuwa amepangiwa aendeshe hiyo sarakasi
Hata kuteuliwa Samia kama makamo wa rais ilikuwa kazi ya Kikwete GODFATHER
 
Bimkubwa anatosha, ameweza yaliyowashinda wenzake, wajumbe wamefanya vizuri mno kumpa rungu tena, sote tumeona katoa makapi na ndumilakuwili kwenye keki kasoro kapi moja tu bado linadunda, namuomba sana Mama afikishe haraka Sgr kule Mwanza na Kigoma tu iwe legacy yake. Hii reli ni mkombozi wa taifa. Mama mitano tena!!
 
Na hio saa haipo mbali,mimi ninachoupendea wakati huwa haudumu , kati ya leo na kesho ni pafupi sana.
 
Ukweli mchungu sana huu, tuungojee tu wakati , kesho haipo mbali sana.
 
Kwa kweli leo binafsi ningekua ccm leo nilikua nakabidhi kadi, hii nzuri uchaguzi wa mwaka huu hatoboi.

Uchaguzi huu ICC wataburuzwa watu wengi sana , maana atapigwa alafu atalazimisha , apo ndo balaa litaanzia
 
Mawazo ya kipumbavu kabisa!
 
Msijali!

Kila kitu kinaratibiwa vizuri na the state,na aliekusudiwa kushika Dola atashika muda ukifika was kushika,asietakiwa kushika dola hasta afanyaje hatoshika!

Kama ni yeye atakua yeye TU kama sio yeye hata akijifanya ni yeye na sio yeye hatokua yeye hata iweje!!

Tuendelee kuwa upande wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
 
Mzanzibari anawaona Watanganyika wote mabwege tu.
..leo labda watafahamu asili ya chama Chao kupewa jina la MAPINDUZI..
kingine kinaonekana wazi ccm ni chama cha dini fulani, ni dhahiri kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…