stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Uzuri ni kwamba wana ccm ndio wanaisoma namba kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This was an outside job na dola zote za kule zilippromoka
You can’t compare na tanzania ambapo mabeberu are benefiting from
The current status
Arab spring was also an outside job
Understand the context
Pole Sana...Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Ndugu yangu, CCM wanafanya hayo wakijua kwamba, ushindi wao hautatokana na kura bali utaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama.Mimi nimefurahi sana kuona ccm inafanya hivyo, tunaelekea pazuri kweli kweli. Dalili za mvua kunyesha ni mawingu. Mimi naamini 2025 ccm watapoteza viti vingi sana vya wabunge na kushinda urais kwa mizengwe.
Kwa sasa wanaccm wote hakuna mwenye uhakika wa kushinda kihalali kwenye box la kura, wote wanategemea mbeleko ya mwenyekiti wao kupitia kofia yake ya urais. Hivyo hakuna mwenye kiburi cha kuhoji uhuni wowote maana wote wanategemea mbeleko ya vyombo vya dola ambavyo vinachukua maagizo toka kwa mwenyekiti wa ccm.Kwa kweli kile kilichofanyika mchana huu ni maajabu.Hata Nyerere pamoja na kuwa na Mamlaka makubwa mno hakudiriki kuburuza wajumbe kiasi hicho.
Jambo hilo litaleta mgogolo ndani ya chama.
Brother matokeo jumla kama taifa ndio hamna kwa huyu mama, heri garama za kumtunza kama rais mstaafu mara moa kuliko gharama anazoliingizia taifa, hii si kwetu sisi tu ni mpaka kwa watoto wa watoto wetu!walichofanya ni sahihi. hata wakimteua mtu mwingine na yeye atatekeleza ilani ya ccm hiyo hiyo
pia ni gharama sana kumtunza rais mstaafu, sioni kama ni sahihi kujiingiza gharama hiyo kwa mtu aliyetawala miaka minne tu, stress za kazi ya urais anapaswa azipate miaka mingi kama wenzake
sio atawale mda mchache halafu apewe pensheni na benefits zote za kikatiba sawa sawa za watu waliotawala miaka 10
Sahihi kabisa ndugu yangu.Tusipoiamini CCM tumuamini nani wakati vyama vya upinzani nchi hii vyote vimeishakufa ?!!
Vyama vya Chadema na CUF vilikufa tangu 2015 walipomkaribisha Mzee Lowasa kugombea uraisi kupitia muungano wao waliouita UKAWA wakidhani kwamba wamepata mtu wa kuwabeba na kuwaongezea nguvu na hawakujua kuwa WAMEPATIKANA.!!
Lowasa ni bomu ambalo lilitumwa toka CCM wao wakalipokea na kulibeba vizuri wakidhani ni mtaji mzuri wa kukikuza chama na kwa kweli kuna matumaini ya muda mfupi yaliyoonekana kwamba Naam! UKAWA karata zao wamezipanga vizuri lakini baada ya muda mfupi baada ya uchaguzi wa 2015 ilianza kuonekana kuonekana kuwa Lowasa ni bomu ambalo limetumwa UKAWA kuja KUWAGAWA NA KUWASAMBARATISHA.!!
Hii vita iliyopo sasa 2025 kati ya Lisu na Mbowe ni matokeo ya makosa waliyoyafanya UKAWA 2015 ya kumpa Lowasa nafasi ya kugombea urais kwa niaba yao kama vile UKAWA hawakuwa na watu wengine wenye sifa za kugombea urais.
Hata hivyo ni wazi kwamba kitendo Cha Mbowe na Maallim Seif kumkaribisha Lowasa kugombea urais kwa niaba ya UKAWA kimekuwa chenye faida kwa ACT WAZALENDO ambao kupitia makosa ya Mbowe na Maalim Seif kumkakaribisha Lowasa sasa ACT wamekuwa chama chenye nguvu visiwani Zanzibar baada ya CCM na hata huu mgogoro unaoendelea kati ya Mbowe na Lisu ACT wamekaa mkao wa kula ya kwamba muda wowote watapokea wageni toka Chadema.
Nimeandika mengi lakini hoja yangu ya msingi ni kwamba CHADEMA ILIKUFA MWAKA 2015 NA HAYA YANAYOENDELEA CHADEMA KWA WAKATI HUU KATI YA LISU NA MBOWE NI MATOKEO YA MAKOSA YALIYOFANYIKA MWAKA 2015 YA KUMKARIBISHa LOWASA KUGOMBEA URAIS KWA NIABA YA UKAWA, HAPO NDIPO MGAWANYIKO MKUBWA NDANI YA CHADEMA NA CUF ULIPOANZIA.
Amini, amini nawaambieni, siku tusipofikia hatua ya kuwa tayari kumwaga damu yetu wenyewe kwa ajili ya ukombozi wa Nchi hii, hatutakuja kamwe kufaidi matunda ya Nchi yetu, bali tutakuwa watazamaji wenye Mamlaka wakigawana keki ya Taifa wao wenyewe na vibaraka wao.Brother matokeo jumla kama taifa ndio hamna kwa huyu mama, heri garama za kumtunza kama rais mstaafu mara moa kuliko gharama anazoliingizia taifa, hii si kwetu sisi tu ni mpaka kwa watoto wa watoto wetu!
Heri tisa iliyopo ndugu kuliko kumi ambayo hatunayo!
Hivi hizo pesa zita pelekwa wapi?Halafu kuna chawa walimchangia mamilioni ya kuchukua fomu! Sijui itakuwaje.
Na hio saa haipo mbali,mimi ninachoupendea wakati huwa haudumu , kati ya leo na kesho ni pafupi sana.Ndugu yangu, CCM wanafanya hayo wakijua kwamba, ushindi wao hautatokana na kura bali utaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Wanafanya hivi kwa sababu wametuona sisi Watanzania ni maboya. Hatuwezi kusimama imara kupinga uonevu. Mahakama, Bunge na majeshi yote ni mali yao. Watashindwaje kwenye uchaguzi?
Lakini saa inakuja ambapo watakuja kulilia chumbani.
Ukweli mchungu sana huu, tuungojee tu wakati , kesho haipo mbali sana.Amini, amini nawaambieni, siku tusipofikia hatua ya kuwa tayari kumwaga damu yetu wenyewe kwa ajili ya ukombozi wa Nchi hii, hatutakuja kamwe kufaidi matunda ya Nchi yetu, bali tutakuwa watazamaji wenye Mamlaka wakigawana keki ya Taifa wao wenyewe na vibaraka wao.
Kwa kweli leo binafsi ningekua ccm leo nilikua nakabidhi kadi, hii nzuri uchaguzi wa mwaka huu hatoboi.Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao hiki cha kwenda kumtafuta makamu mwenyekiti kilikuwa zuga tu, lengo lilikuwa ni kumteua rasmi Samia kuwa mgombea wa Urais.
Hii maana yake nini, maana yake Samia kapita bila kufuata mchakato wa kawaida wa chama wa kuchukua fomu kutafuta wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na Hussein Mwinyi naye kakwepa mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais huko Zanzibar. Ule Msemo wa Rais wa Zanzibar anatokea DODOMA Tanganyika umedhihirika leo.
Hiki alichokifanya Samia na kaka yake Hussein Mwinyi ni Kutafuta mteremko wa kisiasa na Unajenga Precedence moja mbaya sana. Sasa hivi wana CCM wajue tu kuwa in the future, hakuna Rais atakayetokana na chama hicho atakayejali hatua za vikao kadha wa kadha, yeye atakuwa anacheza na mkutano mkuu tu , mkutano ukishasema ndiyoooooo, hakuna cha mkutano wa halmashauri kuu wala kamati kuu utakaokuwa na sauti juu ya maamuzi mbalimbali mazito.
Staili hii hii Samia anaweza kuitumia kuilazimisha CCM iridhie ubadilishaji wa katiba kuondoa muhula wa vipindi vya uongozi au kuongeza muda.
Kwa kweli hii staili ya Mbereko, ya kupitisha watu bila kupingwa, ya kutafuta mbereko kwa kukwepa ushindani wa kisiasa ndani ya chama, CCM imeulea yenyewe na sasa madhara yanawarudia wao. Hakuna tena kufuata due process ya kupata wagombea, ni kuwashtukiza wajumbe tu walioshiba ubwabwa, na kulipiwa guest house za kufikia ili watoe sauti za ndiyooooo.
Hii ni disaster.
Leo Samia amekoleza safari ya CCM kujifia, kimegeuka chama cha maigizo, hakuna brainy aspects ya kila move chama hiki kinafanya kwa sasa. Kimegeuka kama chama cha sherehe ya wachoma nyama kula mapande ya minofu ya nchi bila kujali mustakbali wa vizazi vijavyo.
Yetu macho, lakini kwa sasa hakuna chama hapo ni genge la watafuna nchi huku likiwarushia wajumbe makombo ya posho kipindi cha vikao kama hivi vilivyotawaliwa na upambe, uchawa, mob psychology na group thinking.
Mawazo ya kipumbavu kabisa!walichofanya ni sahihi. hata wakimteua mtu mwingine na yeye atatekeleza ilani ya ccm hiyo hiyo
pia ni gharama sana kumtunza rais mstaafu, sioni kama ni sahihi kujiingiza gharama hiyo kwa mtu aliyetawala miaka minne tu, stress za kazi ya urais anapaswa azipate miaka mingi kama wenzake
sio atawale mda mchache halafu apewe pensheni na benefits zote za kikatiba sawa sawa za watu waliotawala miaka 10
Ccm ni chama , na tasisi ya umma, sio cha mwenyekiti kwa kilichofanyika kamati za kinidham zinatakiwa kukaa na kutoa adhabu ikiwa ni pamoja kuwavua nyadhifa na uanachama wote walioshiriki,Ni maigizo tupu
..leo labda watafahamu asili ya chama Chao kupewa jina la MAPINDUZI..Mzanzibari anawaona Watanganyika wote mabwege tu.