Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
mzee pekee wa ccm kutoka mara aliyebaki anayejielewa....alipambana kwenye katiba lkn mbogamboga wakasema hapanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
mbogamboga hawakawii kumuwekea maneno mdomoni mzee wa watunyie akina mafwele huyu babu mwacheni aishi maisha yake! sio sku tatu tunaskia kazima halafu mseme alikuwa anaumwa!
sisi tunamuhitaji huyo ni ICON
Sema manyonyo amekutana na mheshimiwa waziri mkuu mstaafuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
hii kitu TAL hawezi kufanya ata siku moja!Hayo ndo mambo anayo yapenda samia, mkutane mnywe chai mpige picha 😃
Ikiwa ni kwa habari ya kuanza kwa mpango wakatiba mpya kwa dhani ya mahitaji ya Watanzania ni jambo lakupongeza,ila iwapo ni yale maonyesho ya kisiasa ya siku zote,binafsi naona ingekuwa bora hata jambo hili lingefanya bila kamera wala habari kuwafikia wahitaji wa katiba mpya na halibora ya taifa hili.Ila nataraji ni chanzo ama mwanzo wa matumaini mapya.Laa nitasalia na masononeko ya sikuzote za taifa hili.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Hiyo ndiyo ile maama ya ama shetani hana rafiki ama ondoka usemwe!mbogamboga hawakawii kumuwekea maneno mdomoni mzee wa watu
Mzee hajui kusifu na kuabudu yeye ni kunyoosha tuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756