technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wamemteka mzee wa watu miezi 2 sasahv kawa Lulu kisa maridhiano
Samia na Kikwete acheni utapeli
Samia na Kikwete acheni utapeli
Sio bure Kuna jambo linaendeleaAnachofanya sasa mama ki-mama ni kujaribu kuonyesha dunia kuwa hakuna cha ajabu kilichotokea. Hizi picha ni kutaka aonekane kuwa anakubalika. Pia huenda atakuwa amemwomba Warioba kuzungumza na Lissu na CHADEMA ili kubadilisha msimamo wao.
Achana na wosia wa Nyerere wa serikali moja,zingatia maoni ya wananchi walio wengi serikali tatu . warioba kumeza ,kutema vyote hamtakiHuyo mama ukimwona kama binadamu vile, ila kiwango chake cha ukatili sio cha dunia hii.
Pia Bashite alipomtwanga makofi, akamzawadia UDC wa Kinondoni,Maisha yana mambo na drama zake,leo hii bila Warioba Kikwete angekuwa sio chochote katika hii nchi.
Ni yeye aliyemshika mkono na kumfungulia safari yake ya siasa but huyo huyo Kikwete akampa kazi ngumu kisha akamchinjia baharini babu wa watu-siasa kweli mchezo mchafu.
This is politics mjomba ..😂😂Am confused
Kweli huyu peke yake ndio hazina ya Taifa iliyobaki sio Joseph Butiku mnafiki anatumia jina la Nyerere kujinufaisha!! Butiku kwa kile alichofanya to betray Polepole anafaa kutengwa na jamii yote progressive ya Tangayika!! Hafai kabisa kujihusisha na Nyerere foundation ; it can do better without him.mzee pekee wa ccm kutoka mara aliyebaki anayejielewa....alipambana kwenye katiba lkn mbogamboga wakasema hapana
Tabasamu la Camera tu hilo, hana furaha ama raha ya kumfanya acheke ama kufurahi.Yani huyu mwanamke anacheka kabisa?Hivi ana raha gani huyu ni mtu wa kawaida kweli?
Kwa kweli.Hata yeye mwenyewe anajua kuwa yeye ndiye Mzee pekee aliyebakia mwenye kuheshimiwa na wananchi.
Na anajua sababu ya wananchi kumpa hiyo heshima na imani juu yake.
Anaelewa fika ni mstari gani hatakiwi kuvuka ili ku maintain hiyo trust
100%Kweli huyu peke yake ndio hazina ya Taifa iliyobaki sio Joseph Butiku mnafiki anatumia jina la Nyerere kujinufaisha!! Butiku kwa kile alichofanya to betray Polepole anafaa kutengwa na jamii yote progressive ya Tangayika!! Hafai kabisa kujihusisha na Nyerere foundation ; it can do better without him.
Kazi kweli kweli...Maisha yana mambo na drama zake,leo hii bila Warioba Kikwete angekuwa sio chochote katika hii nchi.
Ni yeye aliyemshika mkono na kumfungulia safari yake ya siasa but huyo huyo Kikwete akampa kazi ngumu kisha akamchinjia baharini babu wa watu-siasa kweli mchezo mchafu.
Hivi alipo ulizia alipo polepole samia alijibuje?Uwongo huo
Angechagua mapema kukutana mara kwa mara na watu kama Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba, naamini kama Taifa tusingefika hapa tulipo.
Bahati mbaya aliamua kuwakumbatia watu wabinafsi na waliokosa uzalendo kwa Taifa. Matokeo yake ndiyo haya ya kuligawa Taifa kwa misingi ya vyama, dini, ukanda, familia, koo, nk.
Unaridhiana vipi na Kuna roho zimepotezwa na unapo ulizia uwajibikaji wajinga hapa jf wanakutukana. Akina gallowbird nipo pamoja na Samia the big show Tena wanasema wamejipanga kuua tenaJaji Warioba aliliona tatizo mapema sana akijotolea kuwa msuluhishi. Mzee akatoa maoni yake
CCM wakamtukana sana wakiwa na baraka za viongozi wao.
Katika msiba wa CD Msuya, Rais Kikwete alimtukana mzee Warioba kwa mafumbo. '' Waziri mkuu Mzee Msuya alipokuwa na jambo aliomba kukutana na Rais, hakuwa mtu wa kuita vyombo vya habari na kuzungumza hovyo hovyo'' akimaanisha jitihada za Mzee Warioba na Butiku zilikuwa ''kusema hovyo hovyo''. Mzee Warioba akakaa pembeni.
Uzee ni dawa ! masikini hawakujua hilo na Kikwete alipaswa kulijua. Mvi za Mzee Warioba ni utambulisho wa hekima, Rais Kikwete akaamua kuongoza mashambulizi ya matusi dhidi yake. Kilichofuata ni MO29
Sasa hivi wanamrudia kwa kujua Mzee Warioba ana heshima, hekima na anakubalika katika jamii. Wanamtafuta awe sehemu ya ''maridhiano''. Mzee yule yule waliyembananga, kumbagaza na kumtindiganya.
Mzee Warioba jamii inakuthamini sana linda heshima yako, wamelikoroga waachie, usiingie katika mambo yatakayokuvunjia heshima.
JokaKuu