Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

haya hizo lugha ndo siku mkifinywa makende mnakuja kulia huku mitandaoni, huyo ni mama, bibi, rais wa nchi, amiri jeshi mkuu, lazima tumheshimu ili kulinda heshima ya nchi pia, mkosoeni kwa hoja sio matusi na vurugu wandugu
Polepole alimtukana? Yuko wapi kama kweli unaamaanisha usemacho?
 
Kukutana naye tu itakuwa haina maana yoyote ile kama ataupuuza ushauri wake usio na chembe ya unafiki au kujipendekeza! Na hivyo kuendelea kukumbatia ushauri wa wahuni wa mjini.
Nakubalia na wewe mkuu. Walishindwa kufuata mapendekezo ya rasimu sasa wameanza kujikosha. Wasiwasi wangu wasije waka mndugai au kumjenista tu. Washazoea kunyonga na kumwaga damu hao. Warioba awe makini hawachelewi hao
 
Mwendo wa mapicha picha kwenda mbele tukija kuamka miaka imeenda wanaiba tena uchaguzi... watanzania ni wepesi wa kusahau sana.
 
Hofu yangu mimi ni kwamba mzee wanaweza wakamjenister.
Hawa walipofikia sasa hakuna ovu wanaloshindwa kufanya.
Itasikitisha sana Mzee Warioba kwa sababu yoyote ile; hata ya kudanganyia kuliponya taifa; akikubali kushirikiana nao hawa waovu.
Katiba Mpya haiwezi kutengenezwa chini ya utawala HARAMU.
 
Tunataka huyu mazeri asepe kwao ndipo katiba itengenezwe.
 
mzee Warioba anaenda kukabidhiwa nchi na ndiyo raisi wa mpito, ambaye atasimamia katiba mpya na kero nyinginezo, kaeni mkao wa kushukuru …
 
Back
Top Bottom