Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.

View attachment 3516751View attachment 3516756
Je amechukua tahadhari zozote wasije kumdhuru?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.

View attachment 3516751View attachment 3516756
 
Kuna Jambo linakuja... Utetezi ni haya maonyesho kuwa wao washayamaliza.
 
..Jaji Warioba alilalamika kwamba Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, na Katibu wake, walikuwa wanakwepa / hawataki kuonana naye. Hicho ni kipindi alichokuwa akiwasihi wafanye marekebisho yatakayowezesha uchaguzi kufanyika kwa HAKI. Sasa ni nani aliwaelekeza viongozi wa Tume kufanya hivyo?
Marekebisho ya tume hayafanyiki kwa ushauri,ni maswala ya kisheria', Sheria ni kazi ya bunge
 
Naomba uma-mark manno yangu. Bila Samia kutimulia, akiruhusiwa kuendelea kuwa rais na katiba iandikwe yeye akiwa rais, basi tutegemee katiba mbovu kuliko hii ya sasa. Sehemu waliyofika CCM ni vigumu sana kuachia nchi kwa kura. Samia mwenyewe hajiamini na hata kwa miujiza akiweza kung'ang'ania kiti mpaka 2030, atataka kuweka mtu wa kulinda madhambi yake kwa kutumia nguvu.
Amka,utachafua godoro kwa samadi
 
Mzee Warioba, Tunamwomba Mungu azidi kumjalia afya njema na maisha marefu. Hiyu amezeeka mwili, lakini akili na utu wake vimebakia perfect. Ukimsikiliza Warioba halafu umsikilize Mwigulu, unaweza kujiuliza maswali mengi, mojawapo ni kama kadiri siku zinavyozidi kwenda, kama watu wanazidi kuwa na akili ndogo, wanafiki, na waongo!!
 
Hawa wauaji wamuache babu wa watu apumzike. Kama ni ushauri mzee Warioba alishashauri sana, kama ni mchango kwa taifa hili mzee huyu hadaiwi. Warejee kazi zake na misimamo yake, alishaelekeza na kushauri mno.
 
Watu mnaoenda kukutana na mpumbavu muuwaji mkome lazima tumtenge sisi sio wauwaji wenzake akatafute wauwaji wenzake wakutane.

Unakutanaje na mjinga wa nchi. ? ndio uuwaji ni ujinga. mtu kama huyu unaongea nae nini sasa sioni vitu vya kuongea nae ?
 
Sema manyonyo amekutana na mheshimiwa waziri mkuu mstaafu
haya hizo lugha ndo siku mkifinywa makende mnakuja kulia huku mitandaoni, huyo ni mama, bibi, rais wa nchi, amiri jeshi mkuu, lazima tumheshimu ili kulinda heshima ya nchi pia, mkosoeni kwa hoja sio matusi na vurugu wandugu
 
Back
Top Bottom