Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Hii ni phase ya rebranding after deadly demos of MO29.

Marehemu.Ruge angekuwepo angepiga pesa balaa kwenye.issues za rebranding Tz

Photo ops events na watu wote prominent zitatamalaki nadhani Lissu tu ameshindwa kufika dau anahitajika.sana.muda huu.kuliko yeyote.kwenye hii scheme.
 
Dah, Dunia hii jamani! Yaani Samuya amekuwa wa kuja mjini kwa kificho?
 
Ikulu ya Magogoni zamani lilikua ni miongoni mwa sehemu za madrasa.

TEC haijachangia chochote zaidi ya kuliibia Taifa hili
 
..awe makini asikubali kuwa dodoki la kuwasafisha watawala wachafu.
Vijana wa TEC mmeshikwa na ghadhabu sana

Nchi hii haiwezi kuendeshwa na wavaa magauni wewe.

Mtu ana miaka 60 plus huko anaishi kwa nyeto anawezaje kutupangia kuendesha nchi....
 
Hii ni phase ya rebranding after deadly demos of MO29.

Marehemu.Ruge angekuwepo angepiga pesa balaa kwenye.issues za rebranding Tz

Photo ops events na watu wote prominent zitatamalaki nadhani Lissu tu ameshindwa kufika dau anahitajika.sana.muda huu.kuliko yeyote.kwenye hii scheme.


Who is lisu??

Mwache aendelee kunyea debe fala yule
 
Anachofanya sasa mama ki-mama ni kujaribu kuonyesha dunia kuwa hakuna cha ajabu kilichotokea. Hizi picha ni kutaka aonekane kuwa anakubalika. Pia huenda atakuwa amemwomba Warioba kuzungumza na Lissu na CHADEMA ili kubadilisha msimamo wao.

Sasa kwani kuna chochote cha ajabu kimetokea.?
 
😁😁😁 Vijana wa masato wassira bana mnamambo!!
Kama unadhani ni uwongo, thibitisha kwa kuonyesha ukurasa wa kitabu cha passport ya Polepole uliogongwa muhuri wa kuingia nchini kupitia Airport/ Mpaka gani na tarehe ipi?
 
Vijana wa TEC mmeshikwa na ghadhabu sana

Nchi hii haiwezi kuendeshwa na wavaa magauni wewe.

Mtu ana miaka 60 plus huko anaishi kwa nyeto anawezaje kutupangia kuendesha nchi....
tumeshaga kuzoea hunaga akili. Hatuhangaiki na wewe usie jielewa.
Karma haita waacha salama. Mungu kipimo aliweka sawa
 
Kama unadhani ni uwongo, thibitisha kwa kuonyesha ukurasa wa kitabu cha passport ya Polepole uliogongwa muhuri wa kuingia nchini kupitia Airport/ Mpaka gani na tarehe ipi?
Baada ya kupata info ya namna alivyo ingia sasa mpo vifua mbele kukanusha kuwa hakuingia nchini watu wabaya ninyi
 
Ertugrul Bey lile genge akina sativa maria na mange wanatapika nyongo muda huu 😂
Hapa ndio nakumbuka maneno ya HAYA LAND HOV kwamba wanasiasa wanajuana wenyewe na mwisho wa siku wanamalizana wenyewe

Mfano marehemu Raila,vijana Kenya wamepoteza maisha na kupata ulemavu,kama kawaida wanasiasa wakayajenga na kumalizana

Hapo Warioba kawekwa sawa wamemalizana

Sasa wewe andamana halafu yakikukuta ni wewe na familia yako

Hao wanaharakati wanachoka kabisa
 
Back
Top Bottom