Rais kwa uchaguzi upi? We Mjinga, Samia na magenge yake ni HARAMU, ukweli lazima usemwe.haya hizo lugha ndo siku mkifinywa makende mnakuja kulia huku mitandaoni, huyo ni mama, bibi, rais wa nchi, amiri jeshi mkuu, lazima tumheshimu ili kulinda heshima ya nchi pia, mkosoeni kwa hoja sio matusi na vurugu wandugu
huo huo wa asilimia 98 za ccm , manyonyo ndo jina lake sio?Rais kwa uchaguzi upi? We Mjinga, ukweli lazima usemwe.
good moveRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Marekebisho ya tume hayafanyiki kwa ushauri,ni maswala ya kisheria', Sheria ni kazi ya bunge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Mzee pekee mwenye heshima ndani ya nchi hii anayejulikana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Huyo mwanamke hana hata chembe ndogo kabisa ya aibu; kwa sababu Mzee Warioba alimsihi kwa kila njia aliyoweza kuitumia; lakini kwa uovu mwingi uliomjaa mwili mzima hakutaka hata kumsikiliza mzee wa watu. Kama mzee angeendelea kuhimiza, sina shaka angeishia kutekwa au kuwekwa ndani.Huyu Mama bure kweli angekutana na Warioba kabla ya October 29!! Too late
Kamuweka kizuizini mzee wa watu bila ya sababu. Hapo kishapakazwa "poda" itayompeleka peponi siku si nyingi.Mzee wa watu wanamtesa
Alimpiga pini mzee wa watu na kumtenga kabisa ktk shughuli zote za kiserikali. Ndiyo maana alikuwa haalikwii ktk hafla zote za serikali: kuvunja bunge, kuzindua bunge, kuapishwa, n.kKama mzee angeendelea kuhimiza, sina shaka angeishia kutekwa au kuwekwa ndani.
Huyu mwanamke ni shetani mkubw
Kama kakubali hata kunywa kwa huo m’bibi amekwisha, huyo na mwanae Abdul wana sumu mpaka za kupulizia. Sijui wametumia ushawishi gani mpaka kalisogelea hilo shetani la kike.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuzoezwa uongoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Kama hayuko tayari kushauriwa kama alivyosema siku anahutubia" who are you" , Ina faida gani kukutanana.Alimpiga pini mzee wa watu na kumtenga kabisa ktk shughuli zote za kiserikali. Ndiyo maana alikuwa haalikwii ktk hafla zote za serikali: kuvunja bunge, kuzindua bunge, kuapishwa, n.k
Mtu mpole asiyeshaurika itamsaidia nini ?Nyie huyu mama kwa macho tu anaonekana ni mtu mwema sana yan yuko peace sana. Ila wapambe ndo wanamuharibia na vile alivyo mpole anashindwa hata kuwakemea.
nyie akina mafwele huyu babu mwacheni aishi maisha yake! sio sku tatu tunaskia kazima halafu mseme alikuwa anaumwa!
sisi tunamuhitaji huyo ni ICON