Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Ni bora kuliko hawa wahuni waliomuua JPM na kuchukua nchi. Hata maji, umeme, rushwa, miundombinu kila kitu ni shida.
Huyo mzee akili nyingi, hapo Samuya ametumia utapeli apige naye picha(a political strategy) ionekane as if they’re in good books.
 
Who is lisu??

Mwache aendelee kunyea debe fala yule
Unajua lissu kiumbe wa kipekee sana maana kuna wasomi kibao sakata lake wanaliandikia machapisho kuhusu.African democracy na wengine ikiwemo yeye mwenyewe wako ukingoni kupata Doctorate of philosophy.

Angalia jinsi mabeberu wanavyomfuatilia lissu akiongea chochote huwa hawafuatilii maboga bali magenius.

Angalia wale akina Amsterdam. Senior council Martha Karua. David Maraga wote wasomi hao wanamfuatilia Lissu sababu ya intellectual admiration toka kwa lissu.

Msikie mtu kama PLO Lumumba akimchambua Lissu. Ukweli unajulikana kwamba lissu ana IQ kubwa zaidi ya 150.
 
Hapa ndio nakumbuka maneno ya HAYA LAND HOV kwamba wanasiasa wanajuana wenyewe na mwisho wa siku wanamalizana wenyewe

Mfano marehemu Raila,vijana Kenya wamepoteza maisha na kupata ulemavu,kama kawaida wanasiasa wakayajenga na kumalizana

Hapo Warioba kawekwa sawa wamemalizana

Sasa wewe andamana halafu yakikukuta ni wewe na familia yako

Hao wanaharakati wanachoka kabisa
ku.ma wewe maccm mnajdanganya sn hamtaki kukubali kwmb kila ktu kna mwanzo na mwisho na ccm imefka mwsho haipo ila zpo taasisi za umma ambazo majitu ya ccm yalizfanya kuwa za chama mfano polisi, TISS hawa ndo mbadala wa ccm kwasasa ila chama hcho hakipo na hz taasisi nazo mwsho wa kuilinda ccm umefka mlizoea kuiba uchaguz ksha panakuwa kmy safari hii mlileta ujinga watz wakakataa mkaishia kuwaua tu huyo warioba kwan ndiye alileta maandamano eti wakmalizana naye bs watz wamesahau na jumuiya za kmataifa znapozwa ku.***** zako ku.manyoko maccm wote
 
Kwa akili hizi za kutukana ndio mtapata yale mnayopigania, jenga hoja ambayo italeta ushawishi na kusikilizwa

Ccm ndio chama tawala kwahiyo serikali na vyombo vyote vipo chini yake,ndio maana ili kubadlisha uogozi wa nchi hii,kwanza kupata katiba mpya na pili uchaguzi wa haki ambao hata vyama vya siasa vitashindana kwa haki

Maandamano hayataleta mabadiliko,amka na badilika kijana
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.

Mzee wa watu wanamtesa

Mzee wa watu wanamtesa
Hapo akutane na chadema, mambo ya MO29 yatatatulika kirahisi kwa hawa wengine ni kusolve hesabu kwa njia ndefu ambayo unaweza usimalize kabla ya muda na ukapata zero.
 
Baada ya kupata info ya namna alivyo ingia sasa mpo vifua mbele kukanusha kuwa hakuingia nchini watu wabaya ninyi
Hahahaha!! Na sisi tulikuwa tunamtafuta aripoti kituo cha Polisi chochote kwa ajili ya matamko yake. Mpaka sasa hajaripoti bado yuko nje.

Kama mama yake alijuwa mwanaye alikuwapo basi na yeye ni accomplice (collaborator to crime)
 
Uliza kuhusu ushirika shinyanga na Malaki ya pesa 1980s mkuu,tamaa!!
Unaleta stori za mwaka 1980s.

Kwahiyo CCM imekufa gangu mwaka 1980s.

Maana kama tangu miaka hiyo mmeshindwa kudhibiti rushwa, leo ndio basi tena ofini wanakunywa KONYAGI kina SINGASINGA.
 
Unaleta stori za mwaka 1980s.

Kwahiyo CCM imekufa gangu mwaka 1980s.

Maana kama tangu miaka hiyo mmeshindwa kudhibiti rushwa, leo ndio basi tena ofini wanakunywa KONYAGI kina SINGASINGA.
Tunazungumzia tamaa, halafu rushwa haitoi serikali bali nyinyi raia
 
Vijana wa TEC mmeshikwa na ghadhabu sana

Nchi hii haiwezi kuendeshwa na wavaa magauni wewe.

Mtu ana miaka 60 plus huko anaishi kwa nyeto anawezaje kutupangia kuendesha nchi....

..unasema nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa magauni?

..mbona Maza anavaa gauni na anaendesha nchi?

..hii nchi ni yetu sote. Kiburi cha Mama Abduli ndio kimetufikisha hapa.
 
..unasema nchi haiwezi kuendeshwa na wavaa magauni?

..mbona Maza anavaa gauni na anaendesha nchi?

..hii nchi ni yetu sote. Kiburi cha Mama Abduli ndio kimetufikisha hapa.
huyo akili aliyonayo ni ya kujua njia ya chooni tu
 
Mikono ya mmoja wapo hapo pichani imejaa damu mbichi ya watanganyika.
 
Huyu Mama bure kweli angekutana na Warioba kabla ya October 29!! Too late

..Maza alikuwa na BILLIONI 100 kwa ajili ya kampeni. Uwezo wa kupata ushindi halali, wenye heshima, alikuwa nao.
 
Alimpiga pini mzee wa watu na kumtenga kabisa ktk shughuli zote za kiserikali. Ndiyo maana alikuwa haalikwii ktk hafla zote za serikali: kuvunja bunge, kuzindua bunge, kuapishwa, n.k
Huyu mwanamke ni shetani mkubwa sana.
Sasa anatafuta namna ya kumtumia huyu mzee kusafisha uovu wote aliowafanyia waTanzania ili wasahau na yeye aendelee madarakani kana kwamba hakuna lolote baya lililotokea.

Mzee Warioba, pamoja na uungwana wake asimruhusu huyu mwovu kumtumia.

Kabla ya kukubali chochote, hata hiyo Katiba Mpya, ni lazima mzee atoe masharti ya Samia kuondoka madarakani, na Tundu Lissu kuachiwa huru.
 
Back
Top Bottom