Mhmm hivi una amin kabisa hichi kitu?Hatoshinda sababu HATOGOMBEA!
Ndio! Hata Mimi nimeajiandaa ku tick lakini silioni jina lake kwenye balot paper!!Mhmm hivi una amin kabisa hichi kitu?
Ikiwa hivyo itakua ni bingo , je itakua ? Au ni drama za homa ya uchaguzi tu????🤔Ndio! Hata Mimi nimeajiandaa ku tick lakini silioni jina lake kwenye balot paper!!
Wenye nchi yao hawamuungi mkono hasta awape nini!tumebaki wachache sana ambao tunaweza muunga mkono kwa huruma japo mambo mengi kavuruga sana!
Imani ni kuwa na hakika.Mhmm hivi una amin kabisa hichi kitu?
Atapitishwa tu kwa lazima, analinda maslahi ya watu.Ndio! Hata Mimi nimeajiandaa ku tick lakini silioni jina lake kwenye balot paper!!
Wenye nchi yao hawamuungi mkono hasta awape nini!tumebaki wachache sana ambao tunaweza muunga mkono kwa huruma japo mambo mengi kavuruga sana!
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Sisi ni pipo bro , nitakuwepo wala sitakufa 🤣 ikiwa hivyo itakua bingo sana.Imani ni kuwa na hakika.
Sasa Mimi jambo hili nitasimama nalo Hadi mwisho.
Ni kwa mustakabali wa vizazi vijavyo mbele yetu.
Na bahati kamwe huwa haiji twice.
Nyakati, Asili na asilimia kubwa ya viumbe vimemkataa kabisa!Ikiwa hivyo itakua ni bingo, je itakua ? Au ni drama za homa ya uchaguzi tu?🤔
Ngoja tuone!maslahi yenyewe so ni kampany ya jk!!?labda ngoja mi njiandae ku tick tu!Atapitishwa tu kwa lazima, analinda maslahi ya watu.
Ngoja tuone bwasheeNyakati,Asili na asilimia kubwa ya viumbe vimemkataa kabisa!
We fikiria mtu anagawa Hadi baiskeli,pikipiki,kaongeza mishahara,kaamua kuwa chawa wa kikwete,kaachia watu wale Kwa urefu wa kamba lakini Bado tu mioyo ya watu imekua migumu!ni kwanini!!?
Jiulize!!
Mhmm dada hivi majuzi tu ulizua taharuku ya furaha ndani ya mtima wangu kwa ile taarifa 🤔 nikanywa na bia kumbe mambo bado😭Atapitishwa tu kwa lazima, analinda maslahi ya watu.
Mlinzi wa katiba anaidharau katibaHayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Kweli kabisaHayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.