Kweli katiba ni kijitabu kwa sababu masuala mengi ya kiuchumi hayategemei vifungu vya kikatiba ili yaweze kufanikiwa.Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Duh kwanza katiba nini? Ujuavyo weweKweli katiba ni kijitabu kwa sababu masuala mengi ya kiuchumi hayategemei vifungu vya kikatiba ili yaweze kufanikiwa.
Kuna suala zima la mpango wa miaka 25 kutoka sasa, ili uweze kufanikiwa hauhitaji sana vifungu vya katiba.
Kuna suala la bandari yetu kuongeza pato kila mwaka ni masuala ya kujipanga kiuchumi na tija imeanza kuonekana.
Kuna suala la barabara za bandarini kuweza kupitika muda wote ili bandari iweze kufanya kazi kwa ufanisi (port hinterland), halihitaji vifungu vya kikatiba ili liweze kufanikiwa.
Samia kajikita kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa kitaifa, cha muhimu ni sisi watanzania kupambana ili tuweze kuajirika popote pale ndani na nje ya nchi (employable), tuweze kukuza ufanisi wetu kitaifa na kimataifa.
Tunapoteza muda kujadili masuala yasiyo na msingi, wakija wachina na wakenya wakachukua ajira zetu na fursa zote tunakuja humu pia kulalamika!.Duh kwanza katiba nini? Ujuavyo wewe
Hata akipita hanaladha TenaAtapitishwa tu kwa lazima, analinda maslahi ya watu.
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Unaonekana huijui hata hiyo katiba.Kweli katiba ni kijitabu kwa sababu masuala mengi ya kiuchumi hayategemei vifungu vya kikatiba ili yaweze kufanikiwa.
Kuna suala zima la mpango wa miaka 25 kutoka sasa, ili uweze kufanikiwa hauhitaji sana vifungu vya katiba.
Kuna suala la bandari yetu kuongeza pato kila mwaka ni masuala ya kujipanga kiuchumi na tija imeanza kuonekana.
Kuna suala la barabara za bandarini kuweza kupitika muda wote ili bandari iweze kufanya kazi kwa ufanisi (port hinterland), halihitaji vifungu vya kikatiba ili liweze kufanikiwa.
Samia kajikita kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa kitaifa, cha muhimu ni sisi watanzania kupambana ili tuweze kuajirika popote pale ndani na nje ya nchi (employable), tuweze kukuza ufanisi wetu kitaifa na kimataifa.
Ilikuwa figure of speech. Katiba ndiyo ilimlinda watu wasimpore urais. Kitu chenye nguvu hivyo hakiwezi kuwa kijitabu tu.
Bullshit ndugu yangu. Rwanda wanayo katiba mbovu kuliko hii ya kwetu na kila siku wanainuka kiuchumi.Unaonekana huijui hata hiyo katiba.
Bila katiba hiyo bandali ni kama mali ya mtu binafasi na wewe hautaweza tena kuiongelea. Heshimu katiba.
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
...Katiba ya Nchi ndio alisema ni Kakijitabu TU...wakati Ni hako Halo Kakijitabu ndio Kalimbeba kupata Uraisi...wakati Ndoto yake ilikuwa kuwa Air Hostess !!!! 😏😏😏Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.
Na sasa anafanya kwa vitendo.
Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.
Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Rwanda waishi kama familia ya mtu. Kuna ni jambo la kawaida.Bullshit ndugu yangu. Rwanda wanayo katiba mbovu kuliko hii ya kwetu na kila siku wanainuka kiuchumi.
Tumia fursa zinazopatikana katika nchi yako kuliko kudanganywa na wanaharakati wenye malengo yao ambayo wewe sio sehemu yake.
Wewe ndio huna akili unayedhani katiba itakuongezea chakula mezani kwako.Rwanda waishi kama familia ya mtu. Kuna ni jambo la kawaida.
Kama unayatamani ya Rwanda huna akili.
Mtoto mwenye zaidi ya miaka 50 duniani. Katiba haileti chakula mezani mkuu.Pole sana. Kumbe naongea na mtoto mdogo.
Nisamehe ndugu yangu.
"Katiba ni kijitabu tu" ni kauli aliyomaanisha kwani kinafuatwa sasa?Ilikuwa figure of speech. Katiba ndiyo ilimlinda watu wasimpore urais. Kitu chenye nguvu hivyo hakiwezi kuwa kijitabu tu.