Samia alishasema Katiba ni Kijitabu tu. Msitegemee Jipya toka kwake

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,403
Reaction score
11,912
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.

Na sasa anafanya kwa vitendo.

Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.

Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
 
Ndio! Hata Mimi nimeajiandaa ku tick lakini silioni jina lake kwenye balot paper!!
Wenye nchi yao hawamuungi mkono hasta awape nini!tumebaki wachache sana ambao tunaweza muunga mkono kwa huruma japo mambo mengi kavuruga sana!
Ikiwa hivyo itakua ni bingo , je itakua ? Au ni drama za homa ya uchaguzi tu????🤔
 
Ndio! Hata Mimi nimeajiandaa ku tick lakini silioni jina lake kwenye balot paper!!
Wenye nchi yao hawamuungi mkono hasta awape nini!tumebaki wachache sana ambao tunaweza muunga mkono kwa huruma japo mambo mengi kavuruga sana!
Atapitishwa tu kwa lazima, analinda maslahi ya watu.
 
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.

Na sasa anafanya kwa vitendo.

Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.

Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
 
Imani ni kuwa na hakika.

Sasa Mimi jambo hili nitasimama nalo Hadi mwisho.

Ni kwa mustakabali wa vizazi vijavyo mbele yetu.

Na bahati kamwe huwa haiji twice.
Sisi ni pipo bro , nitakuwepo wala sitakufa 🤣 ikiwa hivyo itakua bingo sana.
 
Ikiwa hivyo itakua ni bingo, je itakua ? Au ni drama za homa ya uchaguzi tu?🤔
Nyakati, Asili na asilimia kubwa ya viumbe vimemkataa kabisa!

We fikiria mtu anagawa Hadi baiskeli, pikipiki, kaongeza mishahara, kaamua kuwa chawa wa Kikwete, kaachia watu wale Kwa urefu wa kamba lakini Bado tu mioyo ya watu imekua migumu!ni kwanini?

Jiulize!!
 
Ngoja tuone bwashee
 
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.

Na sasa anafanya kwa vitendo.

Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.

Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Mlinzi wa katiba anaidharau katiba
 
Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma.

Na sasa anafanya kwa vitendo.

Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu.

Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…