PostGE2025 Samia amekera watu kwakuwa watu walipotekwa hakutoa pole ilimaanisha ameridhia utekwaji wa raia wake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa?

Watu wameuwawa anasema wauwaji wametoka nje ila katika kauli zake hatoi pole mbaya zaidi watoto wadogo wanafunguliwa kesi ambazo hata hawajui namna ya kuzitekeleza kiukweli Yani vile vitoto mnavifungulia kesi za ugaidi serious? Samia kachuma janga lake mwenyewe. Alimalize mwenyewe.
 
Atoe tena pole vipi wakati yeye ndiye anawatuma watekaji? Serikali imejaa wauaji hii na kwa mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano, kuna possibility kubwa kuwa wale wote waliotekwa walishauawa.
 
Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa?

Watu wameuwawa anasema wauwaji wametoka nje ila katika kauli zake hatoi pole mbaya zaidi watoto wadogo wanafunguliwa kesi ambazo hata hawajui namna ya kuzitekeleza kiukweli Yani vile vitoto mnavifungulia kesi za ugaidi serious? Samia kachuma janga lake mwenyewe. Alimalize mwenyewe.

Labda kaudhi CCM lakini kwa waliofiwa pole ga samia itasaidia nini?
 
Hilo liko wazi kbs, we jiulize kwann watekwaji ni wale wanaomkosoa tuu...wa pongezi za kuupiga mwingi aah wenyewe hawahusiki!.
 
Yani asikosolewe ye nani ikiwa mungu anakosolewa sembuse yeye
 
Back
Top Bottom