Atoe tena pole vipi wakati yeye ndiye anawatuma watekaji? Serikali imejaa wauaji hii na kwa mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano, kuna possibility kubwa kuwa wale wote waliotekwa walishauawa.Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa?
Watu wameuwawa anasema wauwaji wametoka nje ila katika kauli zake hatoi pole mbaya zaidi watoto wadogo wanafunguliwa kesi ambazo hata hawajui namna ya kuzitekeleza kiukweli Yani vile vitoto mnavifungulia kesi za ugaidi serious? Samia kachuma janga lake mwenyewe. Alimalize mwenyewe.
Imagine chief comforter ambae ndio mfariji mkuu watu wake wanatekwa na kuuwawa yeye anakaa kimya hatoi hata neno la pole hata pole ya kinafiki Sasa hapa utasema anahujumiwa?