sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede.
Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote ambazo watanzania waliamini juu ya uongozi wa kiislam.
Mbali na imani iliokuwa watanzania wanayo, pia uislam umekemea vikali sana juu ya viongozi wadhalimu, lakini Samia ameenda kinyume na mafundisho ya dini. Inafikia hatua kijana mdogo masikini anapotea kisa tu kachoma picha yake.
Yani anajivika ukamilifu ambao hakuna alionao.
In short, Samia is disgrace to Islam. And I hope she fell miserably.