Hakika ametunajisiUongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakua tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia tundulisu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede.
Kumbe ni vile hakua na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote ambazo watanzania waliamin juu ya uongoz wa kiislam.
Mbali na iman iliokua watanzania wanayo, pia uislam umekemea vikali sana juu ya viongozi wadhalim, lakini samia ameenda kingume na mafundisho ya dini. Inafikis hatua kijana mdogo masikini anapotea kisha tu kachoma picha yake.
Yani anajivika ulamilifu ambao hakuna alionao.
In short, samia is disgrace to Islam. And I hope she fell miserably.
Hapo ndiyo huachwa hoi!!!!!!!Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede.
Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote ambazo watanzania waliamini juu ya uongozi wa kiislam.
Mbali na imani iliokuwa watanzania wanayo, pia uislam umekemea vikali sana juu ya viongozi wadhalimu, lakini Samia ameenda kinyume na mafundisho ya dini. Inafikia hatua kijana mdogo masikini anapotea kisa tu kachoma picha yake.
Yani anajivika ukamilifu ambao hakuna alionao.
In short, Samia is disgrace to Islam. And I hope she fell miserably.