Samia Anajenga Masoko yenye Hadhi Kila Mji Mkuu wa Mkoa na Wilaya Tanzania

Hizo halmashauri haziwezi kujenga hayo masoko? masoko ni miradi yenye faida kubwa kwa hela za tozo sijui kwanini mpaka Samia ndio ajenge, wanaweza hata kukopa na wakarudisha within 5 years kwa makusanyo tuu, akili za kimaskini tuu
 
Anaezidimamia na kuwalazimisha kulipa Kodi ni Samia ,bila yeye kusimama kidete hutoi.
Kuna mamlaka inayohusika na ukusanyaji wa kodi Tanzania, ina mamia ya wafanyakazi na ofisi zao zipo kila wilaya. Mamlaka hii imekuwa ikifanya kazi kabla hata ya Samia kuwa Rais.
Hakika tunapaswa kusifia kazi inayofanywa na wafanyakazi wote wa TRA
 
Kuna mamlaka inayohusika na ukusanyaji wa kodi Tanzania, ina mamia ya wafanyakazi na ofisi zao zipo kila wilaya. Mamlaka hii imekuwa ikifanya kazi kabla hata ya Samia kuwa Rais.
Hakika tunapaswa kusifia kazi inayofanyea na wafanyakazi wote wa TRA
Lazima wafanyie kazi maoni na matakwa ya Mkuu wa Nchi.

Alisema Hataki task force na ikasepeshwa.

Kazi nzuri ya Samia hiyo
 
Sasa hilo swala la ku allocate ili litimie ni Watanzania wote wanahusika. Bila management nzuri ya TRA na wananchi kulipa kodi hamna ambalo lingetendeka
Hii miradi ikianzishwa ni pongezi kwa Watanzania wote. Huyo Samia yupo hapo juu anafanya hivyo sio bure, ni Rais analipwa na mshahara na huo ni wajibu wake
Wananchi wanalipa kodi kila siku ila nyinyi sifa zote mnapeleka kwa Samia tu, utadhani ni tajiri mkubwa anajitolea kuisaidia Tanzania
 
Haukipi Kwa hiari baada ya kuazimishwa na wewe huna unachoweza kuipangia Serikali
 
Kuwe na wafanyabiashara tu isije kuwa yale yale
Maana huku jirani kwangu bwawani kuna soko zuri lilijengwa
Lkn no wafanyabiashara,bado watu wanakimbilia soko la mapinduzi

Ova
 
Back
Top Bottom