Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Akisaini ujenzi wa masoko, Pongezi kwa SamiaNa deni ni la nani?
Akikopa nje ya nchi, ni deni la taifa. ChoiceVariable hii imekaaje?
Akisaini ujenzi wa masoko, Pongezi kwa SamiaNa deni ni la nani?
Lucas Mwashambwa acha kukatika mtaani na kumsifia Samia, hii video yako inayosambaa mtandaoni ni kujidhalilishaSafi sana . Utashangaa ma CHADEMA yanapinga na kununa halafu yanakuwa ya kwanza kwenda kupanga bidhaa zao hapo. Yaani akili zao yanazijua yenyewe
Magufuli alikuwa Rais mbunifu. Sio overrated kama Samia. Yani mambo ambayo Samia anayazindua ni ya kawaida sana. Hafai kusifiwa kwa loloteMasoko ya kisasa yalijengwa na magu isee soko hadi zina lift sio mchezo.
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuWakati huu neno samia mmelikuza sana kupitiliza, inamaana hatuna serikali bali tuna samia🤔. Naomba mubadilishe hata jina yaani badala ya "Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" tuite "Samia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"..tufanye hivi Hadi pale atakapotoka madarakani...naona wengi mnachizika ni kama neno serikali kwake halina maana vile🙇
Hivi wewe Mwashambwa, baada ya miaka 5 ijayo humu JF utakuwa unafanya nini? Au utaanzisha akaunti nyingine ya kumsifia Rais anayefuata?Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Mimi naongea ukweli na siyo kusifiaHivi wewe Mwashambwa, baada ya miaka 5 ijayo humu JF utakuwa unafanya nini? Au utaanzisha akaunti nyingine ya kumsifia Rais anayefuata?
Hahaha eti ukweli. Simple test, jibu swali hiliMimi naongea ukweli na siyo kusifia
Wengi tangu wanazaliwa hawajafunzwa kujitegemea.Hizo halmashauri haziwezi kujenga hayo masoko? masoko ni miradi yenye faida kubwa kwa hela za tozo sijui kwanini mpaka Samia ndio ajenge, wanaweza hata kukopa na wakarudisha within 5 years kwa makusanyo tuu, akili za kimaskini tuu
Maji ninayo nyumbani mbona, nakunywa na nayaoga..na nayaita maji..sijawahi sikia hata majirani wakiita maji samia🙇Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu