Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,656
taratibu hizo zinakataza kukemea utekaji!?Kila taasisi ya kidini inatakiwa kusajiliwa, tumeona hata Rwanda Kagame alivyofanya......
Kama hayafuati sheria ya kujisajili, au kukiuka misingi ya usajili, yafungiwe tu hakuna namna......
Ni msingi upi Gwajima aliouvunja, Je, Kauli za Gwajima zinazidi kauli ya yule mganga njaa aliyeropoka kwa kudai Kila anayetetea haki akatwe kichwa? Kwahiyo msikiti wake ufutwe?Kila taasisi ya kidini inatakiwa kusajiliwa, tumeona hata Rwanda Kagame alivyofanya......
Kama hayafuati sheria ya kujisajili, au kukiuka misingi ya usajili, yafungiwe tu hakuna namna......
Sijawahi kumsikia Gwajboy akiuliza wako wapi kina Ben Saanane, Azory Gwanda au kukemea Lissu kutaka kuuliwa....Alikuwa wapi kipindi kile....Alikuwa anakula mema ya nchi na ubunge juu wa wizi wa kura...Ni msingi upi Gwajima aliouvunja, Je? Kauli za Gwajima zinazidi kauli ya yule mganga njaa aliyeropoka kwa kudai Kila anayetetea haki akatwe kichwa, Kwahiyo msikiti wake ufutwe?
Uwe unafuatilia gwajiboi alimwambia lisu asiende dodoma kesho yake atapigwa risasi, lisu hakuamini.Sijawahi kumsikia Gwajboy akiuliza wako wapi kina Ben Saanane, Azory Gwanda au kukemea Lissu kutaka kuuliwa....Alikuwa wapi kipindi kile....Alikuwa anakula mema ya nchi na ubunge juu wa wizi wa kura...
Ameshtukia kipindi hiki kuna watu na hela zao wanautaka ubunge wa Kawe, akajua hatoboi...na kuamua kujifanya mwanaharakati wa kuenda na upepo wa matukio.....
Kama yana agenda ya kumpinga kwa nini na yeye asiyapinge?. Mwenyewe alishasema ukimparua....Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Afungie na wa catholic wamesema mengi kuliko gwajiboiKama yana agenda ya kumpinga kwa nini na yeye asiyapinge?. Mwenyewe alishasema ukimparua....
Ameanza kwa kumpromote Mwamposa ili Kanisa katoliki lijifie kibudu🤣Afungie na wa catholic wamesema mengi kuliko gwajiboi
lina miaka 2000 na ushee, mwamposa hana hata tawi moja tzAmeanza kwa kumpromote Mwamposa ili Kanisa katoliki lijifie kibudu🤣
Atabustiwa kusambaza matawi kila kona kama Shule za kata tu. Na hivi Mwamposa mwenyewe hachugui waumini na itikadi zao za kidini,anaweza akasepa na vijiji ndani ya muda mfupi sana au hujasikia Mapadre na wachungaji wakilalamika waumini wao kuibwa na Mwamposa?. Kwamba ikifika jumapili badala ya kwenda kwenye vigango vyao wanaenda KAWE?🤣lina miaka 2000 na ushee, mwamposa hana hata tawi moja tz
Hayo matawi ahakikishe miujiza anayofanya kwenye tv infanyika kwenye hayo matawiAtabustiwa kusambaza matawi kila kona kama Shule za kata tu. Na hivi Mwamposa mwenyewe hachugui waumini na itikadi zao za kidini,anaweza akasepa na vijiji ndani ya muda mfupi sana au hujasikia Mapadre na wachungaji wakilalamika waumini wao kuibwa na Mwamposa?. Kwamba ikifika jumapili badala ya kwenda kwenye vigango vyao wanaenda KAWE?🤣
MmmmUwe unafuatilia gwajiboi alimwambia lisu asiende dodoma kesho yake atapigwa risasi, lisu hakuamini.
Gwajima ashaongelea utekaji toka toka 2019 Roma anatekwa
na akasema wazi bashite ndio anahusika kama alivyo vamia clouds
Hata kama haitafanyika lakini kitendo cha kufanya Manuva kuwaaminisha watu kwamba miujiza inafanyika na wakaamini kwamba inafanyika YATOSHA kabisa kuwazoa kwa wingi wao!Hayo matawi ahakikishe miujiza anayofanya kwenye tv infanyika kwenye hayo matawi
Walokole huwa wanabadilishana waumini, atazoa hao walokole wenzakeHata kama haitafanyika lakini kitendo cha kufanya Manuva kuwaaminisha watu kwamba miujiza inafanyika na wakaamini kwamba inafanyika YATOSHA kabisa kuwazoa kwa wingi wao!
Miongoni wa waumini wanaoongoza kwa kutangatanga ni pamoja na Wakatoliki kwa sababu wanataka kuombewa ili wapate miujiza kitu ambacho kwenye misa hakifanyikagi🤣
Walokole huwa wanabadilishana waumini, atazoa hao walokole wenzake
Watu wa hovyo ni maaskofu na viongozi wa dini wanaompigia debe na kufumbia macho ukristo unavyodhalilishwa.Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Unaijua charismatic au unatumia hisia mkuu.Miongoni wa waumini wanaoongoza kwa kutangatanga ni pamoja na Wakatoliki kwa sababu wanataka kuombewa ili wapate miujiza kitu ambacho kwenye misa hakifanyikagi🤣
Katoliki halifiki miaka 2000lina miaka 2000 na ushee, mwamposa hana hata tawi moja tz