StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Promo nzito kama hii ikiendelea bila kikomo unadhani waumini hususani wakatoliki hawatahamasika kujiunga kwenye miujiza?Ndoto zako unaota huku unatembea na umekodoa macho.The impossible!
Promo nzito kama hii ikiendelea bila kikomo unadhani waumini hususani wakatoliki hawatahamasika kujiunga kwenye miujiza?Ndoto zako unaota huku unatembea na umekodoa macho.The impossible!
MamaSamia2025 ni mdini, sadist na ni Mpinga kristo. Huyu mama aliyejaa damu za watu wasio na hatia hatufai hata kidogoHichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Mkuu mwamposa sio mtu wa miujiza wa kwanza kabla yake walikuwepo wengi tu.Promo nzito kama hii ikiendelea bila kikomo unadhani waumini hususani wakatoliki hawatahamasika kujiunga kwenye miujiza?
Lakini ajue ukristo umekuwepo kabla yakeMamaSamia2025 ni mdini, sadist na ni Mpinga kristo. Huyu mama aliyejaa damu za watu wasio na hatia hatufai hata kidogo
Bara hahami ngoo, uliona wapi chura kiziwi anahama kwenye maji ya bwerere ( soma: pesa ya bwerere).Si lazima uchafukiwe bara tu.Hata kutafuta kisiwa na kwenda kuchafukwa hakuna ubaya.
Watu wanatofautiana mikakati. Mtu anajaza mpaka kwa Mkapa.Mkuu mwamposa sio mtu wa miujiza wa kwanza kabla yake walikuwepo wengi tu.
Na wacatholic wangekuwa wako desperate na miujiza basi wangekuwa ni walokole mda tu.
Nashukuru sana mimi pia mwana charismatic huyu anashidwa kujua katoliki ni kubwa sanaUnaijua charismatic au unatumia hisia mkuu.