Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,656
- Thread starter
- #21
Lina miaka mingapiKatoliki halifiki miaka 2000
Lina miaka mingapiKatoliki halifiki miaka 2000
Uhuru wa kuabuduHichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Naijua vizuri sana,kama Charismatic ingekuwa inasolve ishu ya kutokuwa na miujiza ukatolikini basi Mwamposa and the like wasingekuwa na Nyomi MkuuUnaijua charismatic au unatumia hisia mkuu.
Pathetic, kwahiyo wanaojaza mikutano ya mwamposa ni wacatholic!?Naijua vizuri sana,kama Charismatic ingekuwa inasolve ishu ya kutokuwa na miujiza ukatolikini basi Mwamposa and the like wasingekuwa na Nyomi Mkuu
Hilo ndio kundi kubwa kuliko makundi mengine,kwa sababu ya wingi wao!Pathetic, kwahiyo wanaojaza mikutano ya mwamposa ni wacatholic!?
Nenda kangalie source yako tena wacatholic wachache sana wanao pelekeshwa na miujiza
acha porojo, kama huwez thibitishaHilo ndio kundi kubwa kuliko makundi mengine,kwa sababu ya wingi wao!
Sawa yote hayo umeongea lakini wapi amekosea Gwajima?sawa hakuongelea kipindi hicho Ameongelea kipindi hiki kama unavyodai ameona hatatotoboa ubunge but still alichoongelea ni kosa??Sijawahi kumsikia Gwajboy akiuliza wako wapi kina Ben Saanane, Azory Gwanda au kukemea Lissu kutaka kuuliwa....Alikuwa wapi kipindi kile....Alikuwa anakula mema ya nchi na ubunge juu wa wizi wa kura...
Ameshtukia kipindi hiki kuna watu na hela zao wanautaka ubunge wa Kawe, akajua hatoboi...na kuamua kujifanya mwanaharakati wa kuenda na upepo wa matukio.....
Around 1700-1800Lina miaka mingapi
Hiyo itakuwa historia ya bibi yako na alikudanganyaAround 1700-1800
mbona wanafanya miujiza mikubwa, lakini wanashindwa kufanya miujiza ya sala kukomesha utekaji, ila wanakuwa ni walalamishi wasio na dira yoyote kama hawaijui theologytaratibu hizo zinakataza kukemea utekaji!?
Aanze yeye kusali humo ndipo wengine tufuateHichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Okay, wewe tupe ya kwako. Ukatoliki ulianza lini?Hiyo itakuwa historia ya bibi yako na alikudanganya
Ndoto zako unaota huku unatembea na umekodoa macho.The impossible!Ameanza kwa kumpromote Mwamposa ili Kanisa katoliki lijifie kibudu🤣
Amechafukwa. Mpeni ndimu alambeHichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Si lazima uchafukiwe bara tu.Hata kutafuta kisiwa na kwenda kuchafukwa hakuna ubaya.Amechafukwa. Mpeni ndimu alambe
Kama tunazo sheria zisizo zinazolinda muuwaji/mtekaji na kumfunga anayekemea utekaji na mauaji, sasa ni wakati sahihi wa kuzibadilisha.Kila taasisi ya kidini inatakiwa kusajiliwa, tumeona hata Rwanda Kagame alivyofanya......
Kama hayafuati sheria ya kujisajili, au kukiuka misingi ya usajili, yafungiwe tu hakuna namna......