Samia anataka atuchagulie wakristo hadi makanisa ya kusali!?

Promo nzito kama hii ikiendelea bila kikomo unadhani waumini hususani wakatoliki hawatahamasika kujiunga kwenye miujiza?
Mkuu mwamposa sio mtu wa miujiza wa kwanza kabla yake walikuwepo wengi tu.
Na wacatholic wangekuwa wako desperate na miujiza basi wangekuwa ni walokole mda tu.
 
Mkuu mwamposa sio mtu wa miujiza wa kwanza kabla yake walikuwepo wengi tu.
Na wacatholic wangekuwa wako desperate na miujiza basi wangekuwa ni walokole mda tu.
Watu wanatofautiana mikakati. Mtu anajaza mpaka kwa Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…