"Samia Bridge" Ndoto inayoishi na itakayokamilishwa na awamu hii ya 6.

Ona hapo, ulipita miaka gani maana hii ni picha ya oktoba
Napita mara ya mwisho ilikuwa August lakini hapakuwa hivi,anyway kama wamefikia hatua hii basi ni njema kwa wenyeji wa Sengerema na Mwanza
 
Napita mara ya mwisho ilikuwa August lakini hapakuwa hivi,anyway kama wamefikia hatua hii basi ni njema kwa wenyeji wa Sengerema na Mwanza
Hiyo ni picha ya mwezi oktoba. Kazi inaendelea tena kwa kasi kubwa na kumbuka hii si kazi ya kukimbiza inahtaji umakini wa zaidi ya 100% ndo maana watu wanahisi imesimama. Tuko na Nyerere bridge, mkapa bridge, magufuli bridge sasa tujiandae na Samia bridge.
 
Kila la kheri kaka naona umeamua kufanya kazi ya uenezi vizuri.
 
Kila la kheri kaka naona umeamua kufanya kazi ya uenezi vizuri.
SIyo uenezi bali mi ni mdau wa maendeleo sana!! Nimetembea saaana na kuona sasa ni wakati wa mama mchapakazi kuwaunganisha watanzania waliopo ukerewe na fursa za wasiokuwa kisiwani humo kibiasha n.k kwa kutumia daraja maana barabara ipo tena ya lami.
 
Huku kumejaa wasimbe sugu yani makonki,
Hapa ndo huwa naamini rais wa nchi anaongoza watu wa aina nyingi sana. Na wanakuwa na moyo wa uvumilivu kuliko binadamu wengine wengi.
 
Wagambati
 
Hivi humu hakuna sehemu ya kuchat kwa voice note?? Anyway kuwa UWT siyo dhambi lakini all in all Samia bridge is the next after magufuli bridge.
Miradi imebuma karibu yote, matumizi ya hii serikali hii ni makubwa mno ambayo hayana msingi.
 
Miradi imebuma karibu yote, matumizi ya hii serikali hii ni makubwa mno ambayo hayana msingi.
Ukifuata rumors ni kweli imebuma lakini ukiingia kwenye field miradi inatembea. Niko na vijana ninaowajua wanapiga kaz sgr tangu 2021 hadi leo wapo huko hawajawahi kutoka kisa kazi zimesimama. Bwawa la nyerere nadhani mnajua liko kasi sana, busisi ndo hivyo linatembea hadi sasa ni over 80%. Mama anaitumikia familia hii siyo kama tunavyofumbwa macho.
 
Akina mama wajane wa UWT
Nimecheka sanaaaaa
Ni halali yako kucheka kama hujui umhimu wa mjane na hasa wewe mwenye kuona wanawake si kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…