Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wewe dada angu pokea posho yako ukae kimyaUkifuata rumors ni kweli imebuma lakini ukiingia kwenye field miradi inatembea. Niko na vijana ninaowajua wanapiga kaz sgr tangu 2021 hadi leo wapo huko hawajawahi kutoka kisa kazi zimesimama. Bwawa la nyerere nadhani mnajua liko kasi sana, busisi ndo hivyo linatembea hadi sasa ni over 80%. Mama anaitumikia familia hii siyo kama tunavyofumbwa macho.