Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wewe dada angu pokea posho yako ukae kimyaUkifuata rumors ni kweli imebuma lakini ukiingia kwenye field miradi inatembea. Niko na vijana ninaowajua wanapiga kaz sgr tangu 2021 hadi leo wapo huko hawajawahi kutoka kisa kazi zimesimama. Bwawa la nyerere nadhani mnajua liko kasi sana, busisi ndo hivyo linatembea hadi sasa ni over 80%. Mama anaitumikia familia hii siyo kama tunavyofumbwa macho.
Kweli tutafikaTutafika tu. Ngoja tuanze na njia zinazoleta karaha kwa wananchi
Kwa hiyo umeiweka hii kwa nia ya kuomba kuwe na daraja la kuunganisha ukerewe na Bunda, ila ukaileta kwa kumvisha kilemba cha ukoka?Sijawahi kuwa chawa ila ni ndoto za kila mtanzania hasa walioko maeneo ya visiwani kuona usafiri unakuwa wa uhakika.
Usidanganyike ndugu yangu. Daraja la Busisi halipo hatua za mwisho. Si mwaka huu wala si mwakani litakapokamilika. Linasuasua sana. Miaka sasa tangu lianze, na bado wanasuasua na nguzo tu mpaka leo.Busisi hilo liko hatua za mwisho ili la Samia bridge lianze
Huduma za jamii unataka ziwe zinaingiza pesa?? Ukerewe ni mzalishaji mkubwa wa samaki, matunda n.k samaki tu zibaleta hivyo vibilioni unavyoleta nongwaHivi Ukerewe inaiingizia pato kiasi gani Tanzania hadi ujenge daraja la mabilioni wakati ferries tu zinaweza zikatatua shida ya uvushaji?
Huduma za jamii unataka ziwe zinaingiza pesa?? Ukerewe ni mzalishaji mkubwa wa samaki, matunda n.k samaki tu zibaleta hivyo vibilioni unavyoleta nongwa
NakaziaTatizo la akina mama wajane wa UWT kila mmoja anajitahidi kusifia aonekane apate ulaji.
Karume bridge, muasusi wa taifa la zanzibar.Tulisikia kuna daraja linategemewa kujengwa kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar. Kama ndivyo litaitwa jina gani? Hili litakuwa ndiyo daraja refu kuliko yote barani Africa. Litafanana na yale tunayoyaona huko China. Litaitwa Samia Bridge au Mwinyi Bridge?
Umeshinda!Karume bridge, muasusi wa taifa la zanzibar.
Ukerewe unapajua? Unajua kwa nini pametoa wasomi wengi sana lakini wote wanakimbia?Mbona umeme umepitishwa vizuri tu. Imani hz zilishapitwa na wakati
Usipepese macho daraja la busisi ni daraja la JPM tumia jina Hilo Kila unapolitaja daraja hilo.hata kama hawapendi kusikia lkn ndiyo hivyo.Maliza kwanza la Busisi homeboy sema ndoto nyingine ziko influenced na roho wachafu au misongo kwahiyo jaribu kuomba sana au upate chakula kizuri
Usisahau teuzi mwaka huu hatuna tena
Hii tamu sana kali mnooooNdoto ni hizi hapa kuwa na njia airport View attachment 2807979
Watu wako mbali sana MkuuHii tamu sana kali mnoooo