Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 1,947 Reaction score 1,554 Nov 16, 2023 Thread starter #61 chiembe said: Ukerewe unapajua? Unajua kwa nini pametoa wasomi wengi sana lakini wote wanakimbia? Click to expand... Sema walikumbia siyo wanakimbia! Low minded ndo wataamini imani za kishirikina, nimekuambia mbona umeme umepitishwa?
chiembe said: Ukerewe unapajua? Unajua kwa nini pametoa wasomi wengi sana lakini wote wanakimbia? Click to expand... Sema walikumbia siyo wanakimbia! Low minded ndo wataamini imani za kishirikina, nimekuambia mbona umeme umepitishwa?
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Nov 17, 2023 #62 Nsennah said: Sema walikumbia siyo wanakimbia! Low minded ndo wataamini imani za kishirikina, nimekuambia mbona umeme umepitishwa? Click to expand... Ukerewe Kuna wachawi wengi sana, katika Kila watu 10, 8 ni wachawi
Nsennah said: Sema walikumbia siyo wanakimbia! Low minded ndo wataamini imani za kishirikina, nimekuambia mbona umeme umepitishwa? Click to expand... Ukerewe Kuna wachawi wengi sana, katika Kila watu 10, 8 ni wachawi
Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 1,947 Reaction score 1,554 Nov 18, 2023 Thread starter #63 chiembe said: Ukerewe Kuna wachawi wengi sana, katika Kila watu 10, 8 ni wachawi Click to expand... Kama bado una fikra mgando hivi ni ngumu kupiga hatua!! Wamekuulia nani yako hao 8 kati ya 10? Mnashikilia imani za kizamani sana
chiembe said: Ukerewe Kuna wachawi wengi sana, katika Kila watu 10, 8 ni wachawi Click to expand... Kama bado una fikra mgando hivi ni ngumu kupiga hatua!! Wamekuulia nani yako hao 8 kati ya 10? Mnashikilia imani za kizamani sana