Samia: Hakuna aliye juu ya Sheria zetu, atakayevunja sheria atashughulikiwa

Samia: Hakuna aliye juu ya Sheria zetu, atakayevunja sheria atashughulikiwa

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414



Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.

Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania.
 
Ingekuwa hakuna aliye juu ya sheria, basi na yale matokeo ya uchaguzi hewa wa Oktoba 29, 2025 yasingetangazwa.
 
Back
Top Bottom