Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 8,000 Reaction score 16,414 Jul 13, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania.
Your browser is not able to display this video. Samia anasema kuwa Tanzania ipo vizuri katika kufuata misingi ya haki za binadamu kwa muda mrefu huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Mama huyo ameyasema hayo wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Arusha,Tanzania.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Jul 13, 2026 #2 Ingekuwa hakuna aliye juu ya sheria, basi na yale matokeo ya uchaguzi hewa wa Oktoba 29, 2025 yasingetangazwa.
Ingekuwa hakuna aliye juu ya sheria, basi na yale matokeo ya uchaguzi hewa wa Oktoba 29, 2025 yasingetangazwa.
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jul 13, 2026 #3 Tate Mkuu said: Ingekuwa hakuna aliye juu ya sheria, basi na yale matokeo ya uchaguzi hewa wa Oktoba 29, 2025 yasingetangazwa. Click to expand... All animals are equal but some animals are more equal than others
Tate Mkuu said: Ingekuwa hakuna aliye juu ya sheria, basi na yale matokeo ya uchaguzi hewa wa Oktoba 29, 2025 yasingetangazwa. Click to expand... All animals are equal but some animals are more equal than others
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,292 Reaction score 10,948 Jul 13, 2026 #4 Sheria zenyewe ndio hizi hizi zinazovunjwa na shekhe wa mchongo Mwaipopo kuna zingine?