Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Nimeona gari mpya za Samia; ni kama amekuja kutokomesha kwamba tulishoboka na zile Rolls Royce za mwanae? Yeye kaja sasa kutuonesha kwamba hatukuwa tumeona kitu bado.
Na bado duru zinasema tayari imenunuliwa ndege ya Rais ambayo hatujapata kuona Afrika, na mnunuzi ni yule yule tena mwanae kijana Abdul na yule kijana wa mjini, Waziri Salum. Yan hadi tumkome. Akina Imelda Marcos tupa kule, yan ni anasa mwanzo mwisho. Hadi tuseme.
Mtu unajiuliza, fahari yote hii ndo imefanya watoto wadogo wauawe kwa halaiki kiasi kile? Only for this hedonism and indulgence? Wacha nisali nilale, Samia nimekaa pale👉👉, naungoja wakati wa Bwana, uzuri awe nayo mtu madaraka ama asiwe nayo sote tu mwili tu wa nyama.