Samia kapitishwa kimakosa kugombea urais. Katiba ya CCM haikufuatwa

Mambo ya ccm waliyofanya kwenye mkutano wao tumeyaweka pending kwanza tujadili ya chadema wamalize shughuli yao ndio tuwarudie ccm tuone wamempataje mgombea wao wa urais
SAWA kabisa kamanda ✌️
 
Jana nimeandika CCM wamevunja ibara ya 100 (5) c ya katiba ya CCM ya 1977 toleo la Disemba 2022.
 
Pesa zilizochangwa zitatumika kuchukua Fomu ya Urais pindi Tume Huru ya Uchaguzi itakapowaalika wagombea kuchukua Fomu.Mchakato bado unaendelea.
Umevuta bangi au umekunywa gongo?
 
Posho zimeisha mmeanza kutoa milio sasa..!!
 
Ulilala kwenye mkutano wewe, hukusikia wenzako wakipiga kelele za ndiyo?
 
Mambo ya ccm waliyofanya kwenye mkutano wao tumeyaweka pending kwanza tujadili ya chadema wamalize shughuli yao ndio tuwarudie ccm tuone wamempataje mgombea wao wa urais
Naam spana size gani zitatumika mkuu?
 
Mbona hata katiba yenu huijui vizuri , nakusidia mgombea urais anatakiwa kuchukua fomu kuomba uteuzi, pili kutafuta wadhamini 250 mikoa kumi bars , miwili Zanzibar , kuitisha mkutano mkuu maalum , that's in short .
In short katiba haikufuatwa na wewe unaojua unakubali. Hilo ndio jambo muhimu.
 
Vipi azimio halitoshi kufanya maamuzi kwenye kikao?

Hili ndio azimio la kwanza?
 
Ccm bana, akili zao
Waliona. membe na lowasa wasiwepo ili kusiwe na upinzani
 
Mchawi wa mchongo mzima ni yule mlima mananasi wa msoga
Mchawi kivipi? Hujaona kwamba alitupiwa mzigo ghafla tena kwa kushtukiza?

Angesema nini mbele ya umati ule zaidi ya kuunga mkono, japo alijaribu kusisitiza utaratibu ufuatwe lakini chawa walimzidi nguvu.
 
Tanzania Wajinga Ni Wengi
Pesa Zimechangwa Kote Ila Fomu Hakuna
Chama cha walimu, bodi/umoja wa wakandarasi, na wengine wengi, wanajisikiaje na zile mbwembwe zote
 
Mchawi kivipi? Hujaona kwamba alitupiwa mzigo ghafla tena kwa kushtukiza?

Angesema nini mbele ya umati ule zaidi ya kuunga mkono, japo alijaribu kusisitiza utaratibu ufuatwe lakini chawa walimzidi nguvu.
Mchongo ulikua planned kitambo ule na zile ndo pigo zake bata yule
R.i.p mzee wa lupaso
 
Mchongo ulikua planned kitambo ule na zile ndo pigo zake bata yule
R.i.p mzee wa lupaso
Kweli mchezo ulikuwa planned lakini yeye sio mhusika wa mchezo ule, kama unajua kutizama body language na facial expressions utagundua jambo zito lililokuwa linatokea wakati ule.
 
Kweli mchezo ulikuwa planned lakini yeye sio mhusika wa mchezo ule, kama unajua kutizama body language na facial expressions utagundua jambo zito lililokuwa linatokea wakati ule.
Hakuna cha body language wala nn mzee kauza turufu kwa binti yake kuendeleza makulaji yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…