Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye masuala ya msingi, ni kosa kubwa kwa CCM kumtegemea Kikwete. Anachoweza yeye ni kuchekacheka tu kama shangingi mchuna mabuzi.Kwahiyo Kikwete aliyependekeza Samia apewe tu Urais akamatwe?
Huu uhuni aliuanza mwendazakeKwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi.
Hilo ni jambo linaonyesha kuna taratibu za chama ukitaka kugombea uteuliwe kua mgombe urais. Nchimbi ameongoza uhuni kwa kukiuka utaratibu na katiba ya CCM. Ni haki kwenye katiba ya CCM mwanachama yeyote mwenye kutaka kugombea urais kupewa haki hiyo.
Hili lilotokea Dodoma kwa kuwalaghai watanzania na hasa wanaCCM eti kikao kilichoitishwa cha mkutano mkuu ni kwenda kujaza nafasi wazi ya makamu mwenyekiti na kupokea taarifa za utendaji wa serikali kisha kushtukizwa kumchagua Samia mgombea urais ni uhuni mtupu.
Nchimbi kwa hilo akazawadiwa kua mgombea mwenza. WanaCCM tusikubali chama kunajisiwa.
WanaCCM tusikubali na tudai mkutano mkuu wa kuteua mgombea urais muda utakapofika uitishwe. Huu uhuni usitishwe wanachama waweze kupewa haki kugombea na kupata mgombea wanayemtaka.