Au siyo? 😁😁👇👇Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!!
View: https://youtu.be/ZH1RjR4_oQw?si=o9ErriA5N0-IYLKv
Tatizo siku hizi tuna machawa yaani wanabisha hata vitu vya kitaifa ambavyo vipo wazi. Mama bado haya yote anaweza kabisa kurekebisha
Au siyo? 😁😁👇👇View attachment 3236418
Wapi ambako hawaombi rushwa mhamie?Watanzania hawahitaji huu upuuzi kujua ukweli. Kila siku hapa Polisi na wafanyakazi wa serikali wanaomba rushwa barabarani kila siku wewe hapa unataka kutuaminisha tuko vizuri!. Ndiyo maana nimesema hata kwa vitu ambavyo viko wazi machawa wanajaribu kupotosha. Zamani rushwa ilikuwa adui wa taifa nzima. Kaulizeni watanzania kama Tanzania rushwa imepungua!. Wakati pekee rushwa ilipungua ni wakati wa Magufuli alipoingia na wananchi wanajua hilo. Rushwa kwa sasa ni janga
Wapi ambako hawaombi rushwa mhamie?
Mwambie awahamishie kule ambako hawatoi rushwa badala ya kunilaumu Mimi.Hatujawekwa Tanzania na Mama yako tumewekwa na Mungu. Mama naye ipo siku ataondoka sisi tutabaki na Mungu wetu. Hili taifa tutalipigania mpaka mwisho. Yaani hata wewe ni kama unasema rushwa ni powa tu. Adui sio Lissu kwa watu wengi ni rushwa sio Lissu!
Mwambie awahamishie kule ambako hawatoi rushwa badala ya kunilaumu Mimi.
Alivyopogana nayo wewe unapata faida gani?Nyerere pia alipigana na rushwa. Mama Samia kashidwa
Alivyopogana nayo wewe unapata faida gani?
Haki ya Rasilimali zipi unazopata wewe nyumbu?Faida ni Haki na rasilimali kwenda kwa wananchi na sio machawa. Kitendo cha Raisi wa nchi kuthamini machawa kuliko wananchi masikini linasikitisha. Rushwa na uchawa ni majanga
Hamia burundi,ila ujue hata ujira wa chawa huko haupo.Wapi ambako hawaombi rushwa mhamie?
Hamia burundi,ila ujue hata ujira wa chawa huko haupo.
Kwa nini usiwepo?Hamia burundi,ila ujue hata ujira wa chawa huko haupo.
Haki gani unayokosa wewe Nyumbu?Angejitahidi kwenye Haki hayo mengine yangebebeka.
Usaid ililetwa na Samia?Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%
View: https://youtu.be/ZH1RjR4_oQw?si=o9ErriA5N0-IYLKv
Tatizo siku hizi tuna machawa yaani wanabisha hata vitu vya kitaifa ambavyo vipo wazi. Mama bado haya yote anaweza kabisa kurekebisha
Kama mna hoja za kupinga hayo mambo matatu toweni hoja za kupinga na sio vihoja. Kuna taibia ya machawa kushindwa kujibu hoja na kuingiza mambo mengine. Badala ya kujibu hoja wanaongea mambo ya kuhama nchi. Toa hoja mfano tueleze kama unafikiri rushwa imepungua? Haki imeongezeka na Tanzania kama kuna jitihada za kotosha za kukomesha umasikini