Jibu hoja maswali ya nini ? Yaani mkishidwa hoja mnakuja na maswali toa hoja yako tofauti na yangu. Huwezi kuwa Raisi badala ya kutatua matatizo unaweka lawama wakati wewe ndiyo kiongozi. Hata umasikini na Rushwa haujaletwa na Samia lakini kama Raisi ni mambo ambayo yamemshinda kwa hii miaka yake ya Uraisi. Tokea Magufuli aondoke rushwa kwa maono ya wengi imeongezeka na haijapungua. Hivyo naombeni mjibu hoja sio kuweka maswali. Huwezi kwenda kwenye debate badala ya kutoa hoja una uliza maswali tu kama huna hoja unavyamazaUsaid ililetwa na Samia?
Na wewe hutaki kupiga pesa?Mama anapiga pesa sawasawa tunakushukuru chawa
Rushwa imeongezekea wapi na Kwa kipimo kipi?Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%
Jibu swali languJibu hoja maswali ya nini ? Yaani mkishidwa hoja mnakuja na maswali toa hoja yako tofauti na yangu. Huwezi kuwa Raisi badala ya kutatua matatizo unaweka lawama wakati wewe ndiyo kiongozi. Hata umasikini na Rushwa haujaletwa na Samia lakini kama Raisi ni mambo ambayo yamemshinda kwa hii miaka yake ya Uraisi. Tokea Magufuli aondoke rushwa kwa maono ya wengi imeongezeka na haijapungua. Hivyo naombeni mjibu hoja sio kuweka maswali. Huwezi kwenda kwenye debate badala ya kutoa hoja una uliza maswali tu kama huna hoja unavyamaza
"Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%. "
Jibu hoja
Imeletwa na Mama yako Samia. Nenda sasa kamuambie Mama yako aache kununua magari ya billion 600 mpaka ahakikishe kuna dawa za kuokoa maisha ya watanzania.Jibu swali langu
Usaid ililetwa na samia?
Rushwa imeongezekea wapi na Kwa kipimo kipi?
Ni lini au tuwekee hapa mkataba ambao wewe unaujua ambao sio wa Siri.
Tangu lini Rais aliyekuza Kilimo,maelfu ya ajira,maelfu ya biashara nk akaongeza umaskini badala ya kupunguza?
Kuna hospitali huko kwenu Haina dawa?
Useless
View: https://x.com/TheSwahiliPost/status/1890422660972126221?t=qL_TOsvMF6X7mcbzLhjR9Q&s=19

sisi tunajua MSD kuliko wengiRushwa imeongezekea wapi na Kwa kipimo kipi?
Ni lini au tuwekee hapa mkataba ambao wewe unaujua ambao sio wa Siri.
Tangu lini Rais aliyekuza Kilimo,maelfu ya ajira,maelfu ya biashara nk akaongeza umaskini badala ya kupunguza?
Kuna hospitali huko kwenu Haina dawa?
Useless
View: https://x.com/TheSwahiliPost/status/1890422660972126221?t=qL_TOsvMF6X7mcbzLhjR9Q&s=19
sisi tunajua MSD kuliko wengi
Ni ngumu kuwa Boss Mashirika ya Umma Tanzania
Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD Wakati na maongezi yao yule...www.jamiiforums.com
Haya mambo Huwa hayatokei kwenye rushwa 😁 😁 👇 👇Unajua tofauti ya B1 na B2?. Hii topic wala haina uhusiano na ya kwangu mimi nimeongelea mambo mengine kabisa. Rushwa, haki na umasikini. wewe unaongelea credit rating. !!
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%
Nani kasema. Hakuna nchi EA uchumi haukui. Wewe kama unabisha hakuna rushwa tembea na gari kwenda mkoani uone utatoa pesa kiasi gani kwa Polisi.Mimi siko hapa kubishana kama huwezi kijibu hoja naomba endelea na topic nyingine za uchawa tuachie topic yetu ya msingiHaya mambo Huwa hayatokei kwenye rushwa 😁 😁 👇 👇
View attachment 3236591
Samia was here when we signed prtenship framework na usaid over 40 years ago?Imeletwa na Mama yako Samia. Nenda sasa kamuambie Mama yako aache kununua magari ya billion 600 mpaka ahakikishe kuna dawa za kuokoa maisha ya watanzania.
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%
Acheni ujinga huu ni mfano mmoja kwani mkataba wa USAID una uhusiano gani na matumizi yetu mabaya? Kuanzia Samia aingie madarakana kafanya nini kupunguza matumizi yasiyo na lazima. Hakuna mkataba wowote huu ni msaada tu ambao unaweza kuisha wakati wowote kama ulivyoisha. Lakini kama Raisi Samia kajiandaa vitu na katumia vipi pesa za kodi. Kununua magari ya 600B gari moja 400M wewe tu ndiye unaona matumizi hayo ni muhimu. Huu ni mfano mmoja tu wa matumizi mabaya kati ya mengi.Samia was here when we signed prtenship framework na usaid over 40 years ago?
Did she sign an Pepfar partnership in 2003?
Utakua na shida kubwa sana ya uelewa wa very basic issues
You May complain about rushwa but can’t link it with trump
Kumbe wewe ni mpuuzi namna hiiAcheni ujinga huu ni mfano mmoja kwani mkataba wa USAID una uhusiano gani na matumizi yetu mabaya? Kuanzia Samia aingie madarakana kafanya nini kupunguza matumizi yasiyo na lazima. Hakuna mkataba wowote huu ni msaada tu ambao unaweza kuisha wakati wowote kama ulivyoisha. Lakini kama Raisi Samia kajiandaa vitu na katumia vipi pesa za kodi. Kununua magari ya 600B gari moja 400M wewe tu ndiye unaona matumizi hayo ni muhimu. Huu ni mfano mmoja tu wa matumizi mabaya kati ya mengi.
Raisi Samia kashidwa kwenye
Rushwa, Umasikini na Haki jibu kwa hoja usije kubadilisha topic hapa
Kumbe wewe ni mpuuzi namna hii
Context ya usaid imekushinda sasa umehanisha Magoli
Hizo nyingine anzisha thread tukujibu
But DONT mix usaid na samia
Tupe data mkuu from reputable indicesMjadala ni huu nikumbushe tu sio USAID
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%
Aliweza kipi?Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini