maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Hipo au ipoMO29 hipo magogoni pale.
Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa kalibu,jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu
Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia,tuzidishe maombi kalibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Falao
zile kura milioni 31 za kwako zilikuwa ngapi?Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Sijakuomba kuja kuchangia upumbavu wako kwenye uzi wanguMtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Ulipokuwa unawaza kuuandika huu uzi haukujua kwamba yatakuwepo maoni tofauti na ya kwako?.Sijakuomba kuja kuchangia upumbavu wako kwenye uzi wangu
Huu ndio ujinga na upuuzi. Mlipiga kura watu mil 32? Waliopiga kura hawakufika mil 5. Unaambiwa ukweli kuwa Samia hakubaliki alafu unashupaza shingo. Kama anakubalika hiyo miradi unayoisema mbona wananchi hawaitambui?Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Maoni mengine ni ya kipumbavu nani alimpigia kura Samia akapata asiliimia 98?hata shetani alimshangaaUlipokuwa unawaza kuuandika huu uzi haukujua kwamba yatakuwepo maoni tofauti na ya kwako?.
Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa kalibu,jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu
Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia,tuzidishe maombi kalibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Falao
Na wewe utajibu nyuzi 1000 kila siku kumtetea mama. Mama yupo Ikulu SIO kwa ridhaa ya wananchi bali kwa kupora uchaguzi.Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
hana baraka za allahHuyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa kalibu,jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu
Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia,tuzidishe maombi kalibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Falao
Nimecheka sana,Yule jamaa aliyekimbia na boksi ya kura, isingekuwa yeye ungekuta mama yenu amepata 100% π
Yule jamaa aliyekimbia na boksi ya kura, isingekuwa yeye ungekuta mama yenu amepata 100% πMtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Kukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.Yule jamaa aliyekimbia na boksi ya kura, isingekuwa yeye ungekuta mama yenu amepata 100% π
Mnamponza Simbachawene!!! mtafanya Asiteuliwe tena uwaziri,Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.
Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu
Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia, tuzidishe maombi karibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Farao
Ila kuua na kuteka sio uhaini?Kukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.