maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
- Thread starter
- #21
Samia angekuwa kalibu kwa anavyopenda madaraka angemtoa mbioKukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.
Samia angekuwa kalibu kwa anavyopenda madaraka angemtoa mbioKukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.
Kukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.Yule jamaa aliyekimbia na boksi ya kura, isingekuwa yeye ungekuta mama yenu amepata 100% 😂
Nyinyi miezi yote mnahangaika na no reform watu wanahamasika na kazi za maana anazozifanya huko mikoani.Maoni mengine ni ya kipumbavu nani alimpigia kura Samia akapata asiliimia 98?hata shetani alimshangaa
Samia angekuwa kalibu kwa anavyopenda madaraka angemtoa mbioKukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.
Ongeza na kuiba kura na kutaka wananchi wasichague watu wanaowapenda?Ila kuua na kuteka sio uhaini?
Mtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Mshubi wa Bushubi Ngara.We ni muha?😀😀
Samia hakubaliki kwa wachache mnaolishwa chuki na ubaguzi kutoka kwa yule changudoa mzee wa California.Huu ndio ujinga na upuuzi. Mlipiga kura watu mil 32? Waliopiga kura hawakufika mil 5. Unaambiwa ukweli kuwa Samia hakubaliki alafu unashupaza shingo. Kama anakubalika hiyo miradi unayoisema mbona wananchi hawaitambui?
Una umri gani Kigoma airport ipo toka enzi na enzi miaka ya wakimbizi manege ya UN tena yale makubwa yalikuwa yakitua kipeleka bidhaa enzi za makambi ya wakimbizi. Shida lilikuwa ni jengo tu ambalo halikujengwa na SamiaMtafungua nyuzi hata 1000 kwa siku, Samia yupo pale ikulu kwa ridhaa ya kura tulizompigia sisi tarehe 29 October.
Mengi anayoyafanya tunayaona tunayaheshimu kwani yatakuja kuiinua Tanzania ijayo.
Kigoma hapakuwa na uwanja wa ndege palisahauliwa na marais waliopita, hivi sasa uwanja mkubwa unaendelea kujengwa.
Kule Karemi Rukwa zimetengenezwa meli nne zinazokwenda kuufungua uchumi wa Ziwa Tanganyika.
Mengine mengi sana anayafanya, nyinyi mnaolipwa pesa za mashoga wa EU hamtusumbui vichwa kwa namna yoyote ile.
Ulishawahi kusikia kuwa Kizuri CHAJIUZA, Kibaya CHAJITEMBEZASamia hakubaliki kwa wachache mnaolishwa chuki na ubaguzi kutoka kwa yule changudoa mzee wa California.
Hakuna Rais aliyetenda mengi kuliko SSH tangu uhuru, usiishie kuandika humu JF tembea huko mikoani uone mabadiliko makubwa ya kiuchumi.
Nenda kule Kahama kaongee na wakulima wa kahawa namna alivyopigana mpaka bei yao imesimama vizuri.
Nenda kaongee na wasafiri wanaokwenda nje kwa ajili ya biashara mbalimbali utaupata ukweli.
Ukijazwa chuki na ubaguzi na hawa kina Maria Sarungi huwezi kuona mazuri kwa sababu wao wenyewe uwezo wao wa kuchambua yanayofanyika kwa kina, ni mdogo sana.
Ukarabati mkubwa unaendelea muda huu.Una umri gani Kigoma airport ipo toka enzi na enzi miaka ya wakimbizi manege ya UN tena yale makubwa yalikuwa yakitua kipeleka bidhaa enzi za makambi ya wakimbizi. Shida lilikuwa ni jengo tu ambalo halikujengwa na Samia
JPM aliua magaidi 4,000 kule Mkuranga, jiulize kati yao hawakuwepo wananchi wa Tanzania wenye kufanana na hao kina Mdude na Polepole.Ulishawahi kusikia kuwa Kizuri CHAJIUZA, Kibaya CHAJITEMBEZA
Kama ni kweli amefanya hayo mazuri, kama kutoteka raia na kuwauwa, basi tuwasubirie akina Mzee ALi Kibao na Mdude Nyagali na Balozi Polepole waje kumtolea ushuhuda!
kwa hiyo mwanaCCM mwenzenu Pole Pole mliyempa naye UBALOZI kumbe alikuwa GAIDI, CCM wamejaa maGAIDI!JPM aliua magaidi 4,000 kule Mkuranga, jiulize kati yao hawakuwepo wananchi wa Tanzania wenye kufanana na hao kina Mdude na Polepole.
Hadi Akina mwijaku wamegawa mamilioni lakini wapiHuyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.
Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti.
Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu
Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya ndani aliyetenguliwa kila mtu kasimama naye sababu ya kupenda haki dhidi ya dhuruma ya mama Samia, tuzidishe maombi karibuni Mungu ataamua kama alivyofanya kwa madhalimu wote waliokuwepo kabla yetu kama Farao
Hahahakwa hiyo mwanaCCM mwenzenu Pole Pole mliyempa naye UBALOZI kumeb alikuwa GAIDI, CCM wamejaa maGAIDI!
Kwahiyo yule jamaa alikuwa amebeba uhaini kwenye box!?Kukimbia na boksi la kura ndio uhaini wenyewe ule. Kutaka nchi isitawalike.
Huko mikoani si ndiko watu walimkataa mabarabarani hata kabla ya matokeo kutoka.Samia hakubaliki kwa wachache mnaolishwa chuki na ubaguzi kutoka kwa yule changudoa mzee wa California.
Hakuna Rais aliyetenda mengi kuliko SSH tangu uhuru, usiishie kuandika humu JF tembea huko mikoani uone mabadiliko makubwa ya kiuchumi.
Nenda kule Kahama kaongee na wakulima wa kahawa namna alivyopigana mpaka bei yao imesimama vizuri.
Nenda kaongee na wasafiri wanaokwenda nje kwa ajili ya biashara mbalimbali utaupata ukweli.
Ukijazwa chuki na ubaguzi na hawa kina Maria Sarungi huwezi kuona mazuri kwa sababu wao wenyewe uwezo wao wa kuchambua yanayofanyika kwa kina, ni mdogo sana.
Sasa kwa nini aliiba kura,akauwa watu,na bado anaishi kama digidigi?Samia hakubaliki kwa wachache mnaolishwa chuki na ubaguzi kutoka kwa yule changudoa mzee wa California.
Hakuna Rais aliyetenda mengi kuliko SSH tangu uhuru, usiishie kuandika humu JF tembea huko mikoani uone mabadiliko makubwa ya kiuchumi.
Nenda kule Kahama kaongee na wakulima wa kahawa namna alivyopigana mpaka bei yao imesimama vizuri.
Nenda kaongee na wasafiri wanaokwenda nje kwa ajili ya biashara mbalimbali utaupata ukweli.
Ukijazwa chuki na ubaguzi na hawa kina Maria Sarungi huwezi kuona mazuri kwa sababu wao wenyewe uwezo wao wa kuchambua yanayofanyika kwa kina, ni mdogo sana.
Mmekalilishwa kama wale wakatoliki wa VijoraUkarabati mkubwa unaendelea muda huu.
Njia za treni ya SGR kutoka Tabora zinaendelea kumalizika.
sasa huoni kama nyie ndo mmetengwa na jamii, kila mkiita maadamano hola, jana samia kapoka kupokea tuzo za caf yaani izi nyuzi mtaandika mpaka vidole vipate six packsHuyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma.